Recent content by Nanganga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Inamaanisha anatamani kuwa chini ya waziri wa Mambo ya ndani..................
  2. N

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Investor kama anapata faida hawezi kukimbia,aende wapi DRC au Somalia?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Manji hatamsahau Makonda na JPM katika umri wake uliobakia wallah,;);););)
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ukimya uliokuwepo Ikulu umenistua!!

    Manji ametolewa kwa ambulensi toka SELO. Ha ha ha haaa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ukimya uliokuwepo Ikulu umenistua!!

    Nao ni wanafki tu,kama hawaridhiki si wajiuzulu?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Route ya kusini ya madawa ya kulevya, serikila inalijua hili?

    Hizi report zipo tangu na tangu mdau,labda wewe ndio umeona leo, ni kwamba 10% tu ya dawa ndo hubaki Tanzania mzigo hupita kwenda Kusini mwa Africa, na Tanzania ndo langu kuu la kupitishia dawa ukanda wa SADC, hii ilishawah kuripotiwa na mzee Membe tangu zama za JK
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama Rais hajui uwepo wa baadhi ya sheria, AG na Waziri Mwakyembe wajiuzulu. Haki zetu zi mashakani

    Sheria wanazozipenda ni Cyber Act, Sheria ya huduma za habari na MAZUIO ya MIKUTANO YA KISIASA ambayo sijui ni sheria gani...................sheria ya tangu 2015 hadi leo wameshindwa kuijua.................
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro anapitia kipindi kigumu sana

    Katika utendaji hizi changamoto ni za kawaida sana, je IGP na Jaji wa Ufilipino wapo katika hali gani kwa sasa?
  9. N

    JamiiForums Tanzania NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Wakati huo anapigwa chini mwenyekiti wa CCM atakuwa ni nani?Mbona kuna vitu havihitaji ramli wadau?JPM ndiye mwenyekiti wa CCM Taifa, inamaana ataidhinisha jina lake likatwe?Is It Possible?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    Kwa mujibu wa hiyo pos inaonesha kesho kuna orodha mpya.Sasa anakuwa anawapa kazi Polisi unaona sasa wamemkuta Gwajima clean, unapotangaza majina kama vile unakuwa na uhakika wa 100% juu ya wale washukiwa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    Awamu ya 1 hawajaripoti wote, awamu ya 2 hawajareport wote tena wameripoti wachache sana,mnapokwenda mbele pia mnafanya na tathmin ya mlikotoka.........VITA NDO INANOGA
  12. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Live leo Saa tatu Usiku....

    LIVE MUBASHARA......................................
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya 5 imezidi kutuonea kuhusu swala la mkopo

    Don rely on AHADI ZA WANASIASA
  14. N

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Baba Rungwe,popote ulipo Mungu akubariki sana
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kama Idd Azzan alihojiwa na kuachiwa basi hii vita inazua maswali mengi

    Central Police ipo Ilala,na huyu alikuwa Mbunge wa Kinondoni. Usifananishe na O'bei ambayo ipo Kinondoni, na usimfananishe na Mussa Azzan Zungu wa Ilala
Back
Top Bottom