Kamanda Sirro anapitia kipindi kigumu sana

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,898
11,745
Najaribu kuangalia facial expression ya kamanda Sirro, hakika anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi tangu aajiriwe, nina uhakika kwa uzoefu wake anajua kabisa anachokifanya mkuu wa mkoa hakitafanikiwa ila ameamua kumuacha tu.
[/QUOTE]
 
Katika utendaji hizi changamoto ni za kawaida sana, je IGP na Jaji wa Ufilipino wapo katika hali gani kwa sasa?
 
Najaribu kuangalia facial expression ya kamanda Sirro, hakika anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi tangu aajiriwe, nina uhakika kwa uzoefu wake anajua kabisa anachokifanya mkuu wa mkoa hakitafanikiwa ila ameamua kumuacha tu.
[/QUOTE]
Aiseee ila ni ngumu sana hawa wanaongozwa kwa order hatakama anaona haifai lazima afanye ndo nidhamu ya kazi
 
Sayansi ya binaadamu na uongozi ngumu sana. Anayetoa amri kwa kawaida hana nguvu (not brawny), badala yake nguvu zote na ulinzi wake anategemea kutoka kwa anayepewa amri lakini anayepewa amri (ambaye ndio mwenye nguvu zote na ndiye mlinzi) anamuogopa mtoa amri (ambaye hana nguvu hata ya kumlinda sisimizi). Huwa nikisoma vitabu vya sayansi hii nakosa majibu halafu unaweza kukufuru usipokuwa makini.
 
Najaribu kuangalia facial expression ya kamanda Sirro, hakika anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi tangu aajiriwe, nina uhakika kwa uzoefu wake anajua kabisa anachokifanya mkuu wa mkoa hakitafanikiwa ila ameamua kumuacha tu.
[/QUOTE]
Hakuna kazi ngumu kama kulazimishwa kufuata sheria kwa kuvunja sheria.
 
Unajua kazi ya askari wewe? au unaongea tu? kwanza tushukuru Mungu POLISI wa Tanzania wameanza kupata shughuli za kuwaweka busy katika mambo ya msingi, siyo kama enzi zile walikuwa wana-deal na Wapinzani tuuuuuuuuuu, sasa hivi tunamshukuru Mungu amri inatoka juu waziwazi, na wanaitekeleza haraka.
 
Anapitia kipindi cha hovyo kabisa.....na mambo yanafanyika hovyohovyo kabisa.

Ila kamanda namsikia ananukuliwa akisema anasema "wakaonane na kamati ya mkuu wa mkoa" ni kama analikinga PT na ujinga
 
Sayansi ya binaadamu na uongozi ngumu sana. Anayetoa amri kwa kawaida hana nguvu (not brawny), badala yake nguvu zote na ulinzi wake anategemea kutoka kwa anayepewa amri lakini anayepewa amri (ambaye ndio mwenye nguvu zote na ndiye mlinzi) anamuogopa mtoa amri (ambaye hana nguvu hata ya kumlinda sisimizi). Huwa nikisoma vitabu vya sayansi hii nakosa majibu halafu unaweza kukufuru usipokuwa makini.
Ila Amerika iko tofauti yule bwana si ndo ana secret codes za nuke! ingawa juzi kati amri yake imepinduliwa,by the way this revelation of your is impressive natamani kama unakijua kitabu unitajie nikitafute mkuu
 
Kamanda anajua kazi zake na yote yanafanyika Kwa vikao.. Hata majina kutajwa anajua kazi iliyopo
 
Mkuu umeniwahi.
Hakika ningekuwa igp na siro ningekuwa uraiani kitamboo.
Huwa sipendagi ujinga, hawa wawili wana kipindi kizito sana
unajua kanuni za jeshi wewe...nenda hata mgambo bas lbda itakusaidia kutoposti ujinga
 
Halafu akiangalia huyo anayemkosesha raha ni kama mwanawe........dah......nimejaribu kujiweka upande wake wallah nimejiskia vibaya.......
 
Ila Amerika iko tofauti yule bwana si ndo ana secret codes za nuke! ingawa juzi kati amri yake imepinduliwa,by the way this revelation of your is impressive natamani kama unakijua kitabu unitajie nikitafute mkuu
Viko vingi sana hivyo vitabu, naweza kukutumia siku moja au humu anaweza kutokea member akaviweka.
 
Ila Amerika iko tofauti yule bwana si ndo ana secret codes za nuke! ingawa juzi kati amri yake imepinduliwa,by the way this revelation of your is impressive natamani kama unakijua kitabu unitajie nikitafute mkuu

Nime-highlight maeneo hayo nikiwa na maana kubwa tu. Hivi vitabu vya Political Leadership usivipende sana japo sisemi usivisome. Vinatia wazimu ingawa vinatoa picha kubwa aina za viongozi dunani toka enzi na enzi. Kuhusu Marekani, nakushauri tafuta vitabu viitwavyo "Democracy in America by Alex De Tocqueville". Utaelewa kwanini akina Nyani Ngabu wanapoisifia Amerika huwa hawabahatishi kwa sababu demokrasia yao imepitia misuko suko mikubwa. Sie wacha tusubiri nchi ya ahadi kwa demokrasia yetu ya TAA-TANU-CCM.
 
Back
Top Bottom