selemala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2007
- 370
- 253
Nimetoka kusoma (na kusikiliza) habari ya mwaka jana kuhusu route (njia) ya kusini inayotumiwa na wasafirishaji wa madawa ya kulevya, kama picha inavyoonyesha.
Inasemekana madawa yanatokea Afghanistan kwa njia ya bahari na kuingia Afrika kwa kupitia Tanzania( na wakati mwingine Kenya), kwa lengo la kwenda Afrika Kusini ambako ndio hutokea kwenda Ulaya, Australia etc.
Swali: je Serikali ina taharifa hizi?
Sidhani kama vita dhidi ya matumizi na usambazaji wa madwa ya kulevyo ni swala la mkoa mmoja, hili ni swala la kitaifa. Kama kweli serikali imeamua kupambana kwa hili, naona si vyema kumuachia Makonda, badala yake hii vita iwe ya kitaifa. Ikiwezekana kuwe na kikosi maalumu cha kupambana na janga hili.
source: Pushing heroin through South Africa