Kama Rais hajui uwepo wa baadhi ya sheria, AG na Waziri Mwakyembe wajiuzulu. Haki zetu zi mashakani

Mh Rais amesema hakujua kama alitakiwa kuchagua kamishna wa mamlaka ya dawa za kulevya,na hata hakuletewa mapendekezo ya majina ya watu wa kuteuliwa!.

Mh amesema hata waziri mkuu hakujua kama yeye ni mwenyekiti wa baraza la kudhihiti dawa za kulevya na hata mawaziri waliotajwa na sheria walikuwa hawajui kama nao ni wajumbe,na kama wamejua basi wamejua jana!.

Siku zote naamini sana katika kutoa maoni yanayoonesha udhaifu wa kampeni hii,tulipiga kelele sana kutaka baraza na mamlaka zifanye kazi kwa mujibu wa sheria,baadhi hawakutuelewa wakadhani tunaipinga kampeni hii!.

Tulihoji inakuaje tunaanza vita hivi bila mamlaka,tunapambanaje huku baraza lipo kimya?tukashauri uwajibikaji wa pamoja ni muhimu katika vita hii,kinyume na hapo hatutafanikiwa!.

Leo nimemsikia Rais akivitaka vyombo vyote vya kimamlaka sasa kuwa active!,

My take!.
Mh Rais kaa na wasaidizi wako,wape semina wajue mamlaka yao kisheria ili wakusaidie kufikia malengo uliyojiwekea!.
By Doto Bulendu
Pumbavu wewe! Amesema hakujua au hakuletewa mapendekezo mpaka akaamua kuteua mwenyewe. Unafikiri wengine hatukusikia? Pumbavu tena!
 
Sheria wanazozipenda ni Cyber Act, Sheria ya huduma za habari na MAZUIO ya MIKUTANO YA KISIASA ambayo sijui ni sheria gani...................sheria ya tangu 2015 hadi leo wameshindwa kuijua.................
 
Mh Rais amesema hakujua kama alitakiwa kuchagua kamishna wa mamlaka ya dawa za kulevya,na hata hakuletewa mapendekezo ya majina ya watu wa kuteuliwa!.

Mh amesema hata waziri mkuu hakujua kama yeye ni mwenyekiti wa baraza la kudhihiti dawa za kulevya na hata mawaziri waliotajwa na sheria walikuwa hawajui kama nao ni wajumbe,na kama wamejua basi wamejua jana!.

Siku zote naamini sana katika kutoa maoni yanayoonesha udhaifu wa kampeni hii,tulipiga kelele sana kutaka baraza na mamlaka zifanye kazi kwa mujibu wa sheria,baadhi hawakutuelewa wakadhani tunaipinga kampeni hii!.

Tulihoji inakuaje tunaanza vita hivi bila mamlaka,tunapambanaje huku baraza lipo kimya?tukashauri uwajibikaji wa pamoja ni muhimu katika vita hii,kinyume na hapo hatutafanikiwa!.

Leo nimemsikia Rais akivitaka vyombo vyote vya kimamlaka sasa kuwa active!,

My take!.
Mh Rais kaa na wasaidizi wako,wape semina wajue mamlaka yao kisheria ili wakusaidie kufikia malengo uliyojiwekea!.
By Doto Bulendu
Ndiyo kusema RC alitaja majina yale kwa niaba ya Baraza kwa kuwa Wasaidiz wa Mh hawakutimiza wajibu wao kumshauri mkuu? =
 
Hivi wakati hii sheria inatungwa na kupitishwa na bunge yeye si alikua waziri?,au ndo yaleyaelee?.

Tuna anzaje kumlaumu AG na waziri wa sheria as if yeye hakuepo katika bunge lililopita.
 
Ni aibu sana kwa mwanasheria mkuu....aibu kubwa
Wanajua kila kitu tatizo jamaa ndiyo mjuaji wa kila kitu.
Mr Haambiliki so akaachwa hapo afanye anayoyajua yeye mwenyewe.
Ndivyo kama ulivyoona eti yeye na Makonda wanapambana na madawa ya kulevya ulionaga wapi hii kumbe kuna vyombo husika vya hii kitu.
 
Miaka nane Lissu na bendi yake wamezunguka nchi nzima wakiita watu ni mafisadi na watu hapa Jf wakawa wanashangilia. Lakini leo katajwa Mwenyekiti yule Lissu anakuja na single ya sheria! Kuna nini? Na watu wanaopiga kelele kuhusu wanaotajwa kinawahusu nini au wanaogopa watakifiwa?
Hivi kwanini Lissu anaisumbua sana serikali??
Kwa kila issue ya kisheria inapojitokeza lazima watunwamkumbuke Lissu, why???
Issue ya List of shame ina zaidi muongo mmoja huenda hata walioitaja na waliotajwa washaisahau
 
Mh Rais amesema hakujua kama alitakiwa kuchagua kamishna wa mamlaka ya dawa za kulevya,na hata hakuletewa mapendekezo ya majina ya watu wa kuteuliwa!.

Mh amesema hata waziri mkuu hakujua kama yeye ni mwenyekiti wa baraza la kudhihiti dawa za kulevya na hata mawaziri waliotajwa na sheria walikuwa hawajui kama nao ni wajumbe,na kama wamejua basi wamejua jana!.

Siku zote naamini sana katika kutoa maoni yanayoonesha udhaifu wa kampeni hii,tulipiga kelele sana kutaka baraza na mamlaka zifanye kazi kwa mujibu wa sheria,baadhi hawakutuelewa wakadhani tunaipinga kampeni hii!.

Tulihoji inakuaje tunaanza vita hivi bila mamlaka,tunapambanaje huku baraza lipo kimya?tukashauri uwajibikaji wa pamoja ni muhimu katika vita hii,kinyume na hapo hatutafanikiwa!.

Leo nimemsikia Rais akivitaka vyombo vyote vya kimamlaka sasa kuwa active!,

My take!.
Mh Rais kaa na wasaidizi wako,wape semina wajue mamlaka yao kisheria ili wakusaidie kufikia malengo uliyojiwekea!.
By Doto Bulendu
Magufuli is not right mentally!
 
Hajua hata kama Mwendesha gari hatakiwi kuzuiliwa na Trafic polisi zaidi ya lisaa kwenye foleni kisa anapita kiongozi anayemtegemea huyo aliyemuweka kwenye foleni afanye kazi ili apate mshahara kwa njia ya kodi.
 
Mh Rais amesema hakujua kama alitakiwa kuchagua kamishna wa mamlaka ya dawa za kulevya,na hata hakuletewa mapendekezo ya majina ya watu wa kuteuliwa!.

Mh amesema hata waziri mkuu hakujua kama yeye ni mwenyekiti wa baraza la kudhihiti dawa za kulevya na hata mawaziri waliotajwa na sheria walikuwa hawajui kama nao ni wajumbe,na kama wamejua basi wamejua jana!.

Siku zote naamini sana katika kutoa maoni yanayoonesha udhaifu wa kampeni hii,tulipiga kelele sana kutaka baraza na mamlaka zifanye kazi kwa mujibu wa sheria,baadhi hawakutuelewa wakadhani tunaipinga kampeni hii!.

Tulihoji inakuaje tunaanza vita hivi bila mamlaka,tunapambanaje huku baraza lipo kimya?tukashauri uwajibikaji wa pamoja ni muhimu katika vita hii,kinyume na hapo hatutafanikiwa!.

Leo nimemsikia Rais akivitaka vyombo vyote vya kimamlaka sasa kuwa active!,

My take!.
Mh Rais kaa na wasaidizi wako,wape semina wajue mamlaka yao kisheria ili wakusaidie kufikia malengo uliyojiwekea!.
By Doto Bulendu

Kwani hakuwepo bungeni wakati inapitishwa? Hakuwa serikalini (waziri)? Ni nani huyo aliyemficha? Nani alipaswa kumwambia PM? nani alipaswa kuwaambia mawaziri husika?
 
Back
Top Bottom