Recent content by Nandiaye

  1. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Huoni kosa lake?Kula make wa jirani yako unahisi ni sawa?broo mm nampiga miti huyo mchana kweupeeee
  2. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Huyo bodaboda anafaa kupigwa miti
  3. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Duniani kuna matahira jaman khaaaaa!
  4. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Utambulisho si ndo inbox.njoo hutajutia
  5. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Njoo inbox
  6. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj inauzwa bei sawa na Bure

    Namba gani hii
  7. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mkuu zile zilikuwa porojo tu ,huyo Israel kwa Iran wakisimama wawili hamalizi hata week nchi inakuwa jangwa.bila marekani Israel ni sawa na malawi😂😂😂😂
  8. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

    Kumbe walikuwa wanapewa sifa Tu mara kidon,mara Vita vya sikusita,mara mossad balaa tumejionea kumbe hamna lolote😂😂😂😂😂😂😂😂
  9. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Kuna watu kichwani kuna matope Bado wanaamini vitu vya kipuuzi
  10. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Taifa teule linasambaratishwa huko endeleeni kuamini story za abunuasi😂😂😂😂😂
  11. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Wanaishi Kama panya kwenye maandaki😂😂😂😂😂
  12. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform No election
  13. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

    Aseme kulinda maslai yake asiongope eti maslai ya nchi.watu wanatekwa na kupotezwa mbona hatumuoni kukemea hadharani?
  14. Nandiaye

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

    Kuficha wezi ndo uzalendo huku kwetu
Back
Top Bottom