Hawa ndio wanaosabbisha watu wanaenda kutupa hela shamba wakijua watafaidika kumbe wajinga kama hawa wamewadangaya....mm nko malinyi hizo hekari 60 haziwezi kutoa gunia hizo.....afu mvua za morogoro sio za kistaharabu zina fujo nyingi sana....unaweza ukawa na shamba na usilime hata miaka 3...
Ndoa yangu ina hizi tabia...mama mtu ni mbulu...ni mzuri haswa...hilo la mtoto kuumwa ilibaki kidogo nimpoteze binti yangu....ila nilimkimbiza St francis hospital -ifakara. Aliponea huko....mama mtu ni mzembe vibaya mno...na ni mchafu...kitoto kinaumwa kila siku...kinawashwa mwili, upere, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.