Recent content by nampindi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Kwani kauli ya Padre Kitima ina shida gani. Mbona baadhi ya nyinyi ndugu zetu ktk imani mna chuki na wivu sana.
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa BAVICHA kwa Mkusanyiko Usio Halali

    Tuwaone mahakamani kama ni kweli mnachosema. Ujinga umekuwa mwingi sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    Anataka kutatua tatizo alilotengeneza ili aonekane shujaa.. Nothing new Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania TBC: Wadau karibuni tuichangie Taifa Stars

    Ingekuwa chaguzi za marudio tunachanga ningechangia
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatumiwa na wafanyabiashara?

    Zito kirusi Wewe bacteria wa kijani..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utekaji (kidnapping): Chatu anayeitafuna Tanzania

    Kwa kweli inasikitisha kuona viongozi tuliowapa madaraka wanavyokuwa wabinafsi kutokua na huruma na roho za watu zinazoteseka kisa tu hayupo upande wao.. Nawaomba sana Hawa watekaji waangalie pia upande wa pili.. Kama wanaulinzi mkali basi wajitahidi hata shangazi zao. Tuone Kama watatoa kauli...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Lema tafadhalini mzidi kumkumbusha wajibu wa Mbunge

    Mturudishie MO.. Acheni kutusahaulisha tumewastukia..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Hapo figisu zipo wazi ...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na waziri mkuu Pinda ndio walipaswa kuwajibika kwanza

    huu ni ukweli usio na shaka kikwete na pinda walijua na kuratibu mpango mzima wa hili deal la escrow. walipaswa kuondoka wao. lakn ndo kwanza alikimbilia kuondolewa tezi dume ili upepo upite kama kawaida.kwa kweli inatia hasira kuona watanzania tunaendelea kuibiwa na kuaminishwa kuwa tu masikini...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Pinda aanza kudhibiti wabunge wa UKAWA,aandaa sheria kali kuwadhibiti

    Mi nasema na wapigwe tu.. Maana hatuna namna
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Kikwete hataidhinisha mabilioni ya kiinua mgongo kipya cha wabunge!

    Huyo salva asemacho hana uhakika. Anamjua vizuri Vasco? Analifaham vizuri tu hilo deal.na atasign tu. Hana la kupongezwa. Vasco ni yule Jana Leo na hata milele. Snura tupuuu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hakimu wa kesi ya Lwakatare yupo likizo, dhamana imeshindikana kutolewa

    mahakama zetu kamwe hazipo huru, kila kitu kinafanyika kwa masirahi ya ccm. lakini wakumbuke ule mwisho wao haupo mbali na utakuwa mchungu kwa jinsi wanavyojijengea mazingira. mapambano ni lazima. haki na dhuluma kamwe haziwezi kukaa pamoja.
Back
Top Bottom