Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema anakerwa na kitendo cha wabunge wa UKAWA kususia bunge mara kwa mara na kutoka nje na sasa serikali imegundua tiba yake.
Waziri Mkuu amesema Serikali imeamua kumuomba spika ili itungwe sheria ya kuwakataza kabisa wabunge kususia hovyo bunge na kutoka nje vinginevyo wakabiliwe na adhabu kali.
Waziri Mkuu amesema kususia bunge mara kwa mara wabunge wa UKAWA kimekuwa kitendo kinachomuumiza kichwa kwa muda mrefu na ndiyo maana anadhani sheria hiyo ikiletwa bungeni na kuridhiwa itakuwa muafaka kubiliana na wabunge wa UKAWA.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo juzi baada ya Wabunge wa UKAWA kususia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na ktoka nje wakiongozwa na Kiongozi wao Freeman Mbowe.
Source:Nipashe.