Zitto Kabwe anatumiwa na wafanyabiashara?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa Zito asingesema alichosema wafanyabishara wasingejua kuwa bei ya korosho imeshuka kwenye soko la kimataifa?
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
Akuna wa kumlaumu kuhusu bei ya korosho, Korosho ghafi ilikua bei kubwa sana kwenye soko la dunia kiasikwamba wazalishaji wa bidhaa /viwanda waliamua kutumia (nuts) jamii nyingine ya karanga ili uzalishaji uwe na tija na kupunguza matumizi ya Korosho ambayo kwenye soko la dunia ipo juusana. Matokeo yake Korosho ikawa soko lake limeporomoka automaticaly kwakua waliokua wanazinunua kama malighafi kwasasa zinawashinda.
Kitu cha msingi na kitakachokua suluisho la kudumu ni kuanzisha viwanda vidogovidogo kutengeneza bidhaa mbalimbali zikiwa na ubora kwakua soko lipo kubwa sana. Tusianze kunyosheana vidole kwenye jambo lillilo nje ya uwezo wetu.
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
Tatizo lenu nyinyi mlio wengi najua kusoma lakini hamsomi, mnajua kuandika lakini mnaandika mawazo yetu na udaku. Mhe. Zitto, anajua kusoma na ansoma kweli kweli, anajua kuandika na anaandika kwa manufaa ya ubinadamu kwa kufuatilia masuala. Nikikuuliza swali dogo, unajua soko la dunia la korosho liko wapi hasa?
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
Unaliwa wewe zilikuwa za shangazi zako zile au zilitokana na sangara acha uboya kwenye maisha ya watu Korosho ni maisha yetu. aliyechukua exp levy ndo kafanya la maana ila sishangai we si unakalia Upanga.
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
Umeongea mengi hadi ukashindwa kueleweka
 
Na hutaelewa

Zitto ndio soko la dunia kwamba akitangaza bei ishuke basi inashuka? Kwakuwa Zitto sio mnunuaji wa korosho, ni vyema serekali inunue kilo 5,000@ kisha ikaiuze huko nje ili Zitto aaibike.
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.
Wewe ni ukimwi wa taifa
Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.

Bei ya bithaa zote duniani husuka na kupanda. Hata dhahabu, mafuta ya petroli, kahawa, hukumbwa na misukosoko ya bei. Korosho siyo exception. Wakulima wa korosho waelimishwe
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa
huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na
Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia
mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko
lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.

Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama
ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa
Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa
kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa
baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.

Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya
Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy
ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA
RAIS AMEAMUA zirudi hazina.

Zito ni KIRUSI.
Wewe unatumiwa na nani?
 
Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.
Zitto hakutangaza kushuka kwa bei ya korosho bali alitoa taarifa ya kushuka kwa bei ya korosho soko la dunia!

Kwamba, alitangaza mapema sana ni hoja isiyo na msingi kwa sababu misimu ya mauzo ya korosho Afrika inatofautiana! Afrika Magharibi kwa mfano, msimu wao unaanzia July na kwahiyo mtu anayependa kufuatilia habari anaweza kufahamu mapema sana what to expect.

A smart government yenye smart people ingeweza kuichukulia taarifa hiyo ya Zitto kwa umakini mkubwa badala ya kumuona eti ndie mchawi wa bei ya korosho!

Kwanza wangeanza ku-verify kama taarifa hiyo ni ya kweli au media zimenunuliwa na wafanyabiashara za korosho ili kutujenga kisaikolojia kwamba bei imeshuka!

Endapo serikali kupitia Bodi wangethibitisha kwamba taarifa ya Zitto ni sahihi, basi wangekuwa wamejiandaa mapema sana kuhus nini cha kufanya ili kilichotokea kwa wakulima wengine wa Afrika kisitokee kwa wakulima wetu!
 
Back
Top Bottom