Recent content by Nampanga

  1. N

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Hyo inawezekana kama amesomea nje
  2. N

    Nchi za magharibi ni matatizo

    Mkuu huo ugonjwa umeanzia nchi za Afrika Magharibi na chanzo chake kinajulikana sasa nchi za ulaya wao wanauska vp kuusambaza,unajua marekani tu ametoa wanajeshi ,vifaa plus hera kiasi gan kwenda kusaidia,bado Uingereza,Ufaransa leo hii unaona hawafai sometimes hata kama hauzpendi hz nch ni bora...
  3. N

    Mahakama ya Kadhi yatoa fundisho la Amani kwa Wakristo

    Hujakosea kuwachukia wakristo,ALLAH!amewaamulu mfanye hvyo amewaamulu msiwafanye mayaudi na wakristu kuwa marafiki zenu
  4. N

    The 8 Richest African Presidents and Kings as of 2014

    MrPresident Mkuu akitoka Ujeruman ni Ufaransa ndio inakuja Uingereza then Italy,Spain kwa ulaya
  5. N

    Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Mtanzania asilia ndio yupi mkuu?yani mtu akiwa shombe sio mtanzania asilia
  6. N

    Soma Tamko la Makanisa baada ya muumini kuuawa kanisani Bukoba

    Mkuu ungesoma vzur ilo tamko,kusema kwamba wakatholic au waruthel wanauska ni kukosa point,ukisoma vzur hlo tamko utaona askofu amekoswa kisu ss sjui kama skuizi makanisa ya kiroho yana maaskofu,harafu pili unajikontradict mwenyewe kusema makanisa ya kilokole yanalazmisha kupata waumin sasa...
  7. N

    Mchango wa Dr. Bana, Prof. Shivji, Prof. Kitilla na UDSM katika kuliangamiza Taifa

    Mkuu hata kama Ukawa ikiamua kuongea na kuchambua katiba pendekezwa hyo bado haisaidii kama wananchi wenyewe hawatakuwa na utayari wa kusoma na kuchambua wao wenyewe,hata leo ukifika pale kariakoo ukianza kuwaulza watu kama wameisoma hyo katiba pendekezwa hata ile ya zaman utashangaa majibu...
  8. N

    Marekani ina kibarua kigumu Syria

    Mkuu sjaelewa Syria kuna miundombinu gan mikubwa yenye gharama nyng adi Marekan na washrika wake waamue kuibomoa na kuweka vbaraka wao kuijenga na istoshe ukiangalia gharama wanazoingia kurusha ndege,mabomu wanayotumia,meli wanazotumia tayari hzo gharama za miundombinu ya Syria hazfui dafu...
  9. N

    Five Poorest Countries In The World

    Mkuu uslinganishe Kenya na Tanzania kwenye ishu ya umaskn,wanaweza wakawa maskn lakn sio kama ss na katika ishu ya kibera kuna sehem nyng sana Tanzania zko vbaya nenda tu hapo mchkichn ndio utajua hali ilivyo,hyo kibera vry sun itakuwa transformed na ukiangalia makaz mengi Mfano Nairobi...
  10. N

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Mkuu kati ya Wazanzbar na Watanganyika nani wanauthubutu wa kudai haki?Wawakilsh wote wa huku bara hawajaleta upinzani wowote zaid ya kuitikia ndio
  11. N

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Mkuu kati ya watanganyika na wazanzbar nani ambao wanauthubutu wa kudai haki?
  12. N

    Israel Netanyau Aimaliza Hamas na Kuifananisha na ISIS

    Mkuu hv Israel kwenye vita vya Iraq anauska vp?toa prove Israel ndio alidai Iraq ana silaha za maangamiz bila hvyo utakua unaongea kishabiki,unajua chanzo cha vita ya Lebanon ya miaka ya 70s adi 80s?unajua Yaser Arafat alikuwepo,unajua alikuwa anapigana vita na kina nani na maslai gan?ukishajua...
  13. N

    Muingereza mwengine akatwa kichwa

    Wamekukosea nn mkuu?
  14. N

    Muingereza mwengine akatwa kichwa

    Mkuu usdivert mada kuuwawa kwa huyo mtoa misaada kuna uhusiano gani na Gadaf au Sadam,unaona wako sahh kabsa kuuwa watu wasiokuwa na hatia na isitoshe yy sio mwanajesh ni raia wa kawaida
  15. N

    Nyerere alijisaliti na kuwasaliti watanzania

    Mkuu unaweza ukawa unajiusisha na siasa ww lakn kwa kiwango kikubwa vjana wengi hawana habari na siasa wala nchi yao inaenda vp hlo ndio tatzo,ndio maana nikatoa mfano wa mpira watu wako aware na vitu vnaendelea Uingereza kuliko nchi yao
Back
Top Bottom