Five Poorest Countries In The World

Five Poorest Countries In The World

Dah hii Congo hii, mali zote hizo??

Tatizo kila mtu anataka kipande cha keki, mwisho wa siku wajanja wa nje ndo wanakula, wao wakibaki kupigana. Ila ni nchi tajiri saaaaana kwenye ardhi kuna kila kitu.
 
kenya waongezwe kwenye hii list, hao jamaa maskini sana, kibera ndio hq ya poverty. Yaani pale ni flying toilet.
 
kenya waongezwe kwenye hii list, hao jamaa maskini sana, kibera ndio hq ya poverty. Yaani pale ni flying toilet.

Mkuu uslinganishe Kenya na Tanzania kwenye ishu ya umaskn,wanaweza wakawa maskn lakn sio kama ss na katika ishu ya kibera kuna sehem nyng sana Tanzania zko vbaya nenda tu hapo mchkichn ndio utajua hali ilivyo,hyo kibera vry sun itakuwa transformed na ukiangalia makaz mengi Mfano Nairobi yamepangika tofauti na Dar
 
Back
Top Bottom