aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,220
Unajua wakuu,kumlaumu Nyerere huwezi moja kwa moja. Ni binadamu ambaye alikuwa na mapungufu. Katiba hii tulionayo ilimjengea Mwalimu nguvu sana.iwa bahati mbaya nguvu hio imeangukia pabaya na kwa nia mbaya.
Nyerere kabla hajastaafu angeacha katiba mpya tena ambayo ingeweza kuleta ustawi na haki kwa jamii. Leo raisi ni mungu mtu. Mamlaka yake yamefika mbali wakati yeye nyererw hakufanya ufisadi wala kufanya baya kwenye serikali yake.
I think tumekosea. Namlaumu kikwete kwa maana anaondoka akiacha na kujua kabisa kuna watu wabaya na nia mbaya watatumia mianya hii na nguvu kuangamiza taifa.
Lazima tujieke vipimo katika hya