Recent content by Namnauka

  1. N

    Report ya milipuko ya mabomu Mbagala iko wapi?

    Wazee mimi naona Tanzania tumeweka siasa na propaganda kama vipaumbele vyetu namba moja. Mabomu ya Mbagala yalipotokea ilitakiwa mtu angalau mmoja tu ajiuzulu lakini hicho hakikutokea...kwa ahadi kuwa tukio kama hilo lisingetokea tena hapa Tanzania. Gongolamboto limetokea!....Na mpaka leo hii...
  2. N

    Maziwa ni chakula au kinywaji?

    Nina tatizo moja dogo, nimejaribu kuongea na baadhi ya watu hawajanipa jibu la kitaalamu sana. Mtoto mchanga toka kuzaliwa mpaka kufikisha umri fulani huwa inashauriwa awe anapewa maziwa ya mama tu na kwa kuangalia utaona choo anachopata ni kama anaharisha yaani choo kinakuwa laini kama maji na...
  3. N

    Mamlaka za maji kulikoni?

    Wadau naomba tuliangalie suala hili la mamlaka za maji mikoani au wilayani kushindwa kusambaza maji ya kutosha kwa wananchi wake. Utakuta kuna vyanzo vya maji vingi tu lakini kubuni njia za kuyapata na kuyasambaza mpaka waje wachina watufanyie. Wakati mwingine unakuta maji yapo na mtandao wa...
  4. N

    Matangazo ya Channel Ten hewani

    Hello Channel Ten, Holla, we welcome you back on air. Stesheni yenu ni bomba na tuliimisi sana kwa taarifa za habari za mapema kuliko vituo vingine. Big up!!
  5. N

    Atc kuiokoa kifanyike nini?

    Tatizo katika ATCL ni ubunifu wa biashara. Tunajua kampuni imekuwa na matatizo ya muda mrefu sana hata baada ya kuungana na SAA hakukuwa na matunda yeyote. Kinachotakiwa kufanyika sasa ni uongozi kujipanga upya na kuangalia sifa za watendaji wake wote ili kuona ni maeneo gani yanahitaji...
Back
Top Bottom