Maziwa ni chakula au kinywaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maziwa ni chakula au kinywaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Namnauka, Jan 25, 2010.

 1. N

  Namnauka Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina tatizo moja dogo, nimejaribu kuongea na baadhi ya watu hawajanipa jibu la kitaalamu sana.
  Mtoto mchanga toka kuzaliwa mpaka kufikisha umri fulani huwa inashauriwa awe anapewa maziwa ya mama tu na kwa kuangalia utaona choo anachopata ni kama anaharisha yaani choo kinakuwa laini kama maji na anapata haja ndogo.
  Baada ya mwezi mmoja na zaidi anaendelea kunyonya maziwa yaleyale bila chakula chochote lakini sasa akienda choo kinakuwa kigumu kidogo na sio majimaji tena. Je nini kinakuwa kimebadilika katika mfumo wake wa chakula? (sababu nilitegemea aendelee kupata choo cha majimaji (kama uharo) kwa kipindi chote anachopata maziwa ya mama).

  Kwahiyo kwa mtoto au mtu mzima maziwa ni kinywaji au ni chakula? Yaani ukitumia maziwa tu utaenda haja kubwa au haja ndogo?

  Maziwa tunakula au tunakunywa?

  Kuuliza ni kujifunza naomba ufafanuzi.......!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ama kweli umeniacha hoi Broda!...Uliwaza nini kufikiria hii maneno?

  My take:

  KWA MTU MZIMA-MAZIWA MGANDO NI CHAKULA
  - YA FRESH NI KINYWAJI.

  KWA MTOTO....MAZIWA FRESH NI CHAKULA, na mtoto mchanga hatakiwi kunywa mtindi!....nimemaliza
   
Loading...