Recent content by NAMKWAKWA

  1. NAMKWAKWA

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Licha ya Mkoa wa Mtwara kuwa na kituo chanzo kikuu cha uzalishaji wa Gesi asilia ,lakini mambo ni kinyume kabisa na mategemeo ya wananchi wa mkoa huu kwani tangia mwezi january mwaka huu 2017 kumekuwa na mgao wa umeme, katika maeneo mbalimbali umeme unakatika asubuhi na kurudi jioni au umeme...
  2. NAMKWAKWA

    Power plant ya gas msimbati Mtwara muda wowote itatitia majini

    Habari za kusikitisha kutoka mkoani Mtwara ni kuwa Mvua na hali ya kuchafuka kwa bahari katika ukanda wa pwani ya Mtwara kumeshambulia eneo ilikojengwa power plant ya mradi mkubwa wa Gas,sehemu ambayo kuna connection ya mabomba yanayobeba gas kuelekea kinyelezi Dsm,taarifa toka kijijini Msimbati...
  3. NAMKWAKWA

    Asasi ya Africare watafuna pesa zilizotolewa na kampuni ya British gas kwa ajiri ya maendeleo Mtwara

    Katika mwaka wa bajeti 2013-2014 serikali ilitenga kiasi cha pesa bilioni mbili kwa ajiri ya mfuko wa vijana,pesa ambazo hazikufanikiwa kufika kwenye mikono ya vijana kutokana na bajeti kutegemea pesa kutoka kwa wahisani.Mwaka 2014 kampuni ya uchimbaji gas ya B.G (BRITISH GAS) wametoa pesa kiasi...
  4. NAMKWAKWA

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Ndugu zangu wanaJF umefika wakati wa kuchuja taarifa zinazotolewa na jeshi letu la polisi kwani asilimia kubwa ya Report za matukio yanayotolewa na jeshi hili yamekaa katika hali ya kipropaganda yanayolenga kuonyesha jeshi hili linafanya sana kazi kumbe hamna lolote la maaana.Hebu tuangalia...
  5. NAMKWAKWA

    Clouds FM wanawaibia Watanzania kwa kutumia Ujumbe mfupi wa simu

    Kampuni ya Clouds media kupitia makampuni yake ya clouds f.m na clouds Tv wamebuni mbinu ya kuwaibia watanzania ambao wengi hawana uwelewa mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwani wanakutumia ujumbe mfupi unaohusu shughuli za burudani wanazozifanya kisha wanakukata hela,pasipo wewe...
  6. NAMKWAKWA

    Mtwara: Gari la kubeba mabomba lashambuliwa

    ani acha propaganda sehemu gani,mbona bomba bado ziko bandarini
  7. NAMKWAKWA

    CCM Sasa Inavuna Ilichopanda

    Na hili na kuwapuuza watu wa mikoa ya kusini katika suala la Gas umelisahau,Buku saba pls
  8. NAMKWAKWA

    Askari Polisi wakimbia kuishi uraiani Mtwara

    Pinda amewaruhusu kupiga kaka,what do u expect wakinikamata napiga picha ndani ya camp yao
  9. NAMKWAKWA

    Askari Polisi wakimbia kuishi uraiani Mtwara

    Askari jeshi la polisi mkoani mtwara wameingia katika kipindi kigumu baada ya baada ya kulazimika kuhamia katika kambi zilizopo kutuo kikuu mkoani mtwara na kuishi ktk mahema,hiyo imesababishwa na kuhofia usalama wao mitaani pia wamiliki wa nyumba mkoani mtwara wamegoma kuwapangisha askari...
  10. NAMKWAKWA

    Tanzania: BG Group Upgrades Ngisi Gas Discovery

    Lindi &Mtwara kaka,haitoki hata kwa peni
  11. NAMKWAKWA

    Kauli tata za Mh. Pinda tangu alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

    Makampuni 50 Yamepatikana kuwekeza mkoa wa mtwara
  12. NAMKWAKWA

    THE FALL OF CHADEMA - Vyombo vya habari vimeanza kususia Siasa za CHADEMA, Jiulizeni!

    jamaa wameshakurushia buku saba yako kwa M PESA au TIGO PESA?
  13. NAMKWAKWA

    Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

    Du! noma kweli mi napita tu a.ka. mjusi
  14. NAMKWAKWA

    Norwegian Co. Fertiliser Terminal at Dar Port

    Hapo ndipo serikali wanapoonekana ni wanafiki kwa watu mtwara,mnaleta wawekezaji alafu wanaishia dsm huku mnategemea malighafi itoke mtwara, mbona kama bandari mtwara ipo
Back
Top Bottom