Power plant ya gas msimbati Mtwara muda wowote itatitia majini

NAMKWAKWA

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
43
Reaction score
38
Habari za kusikitisha kutoka mkoani Mtwara ni kuwa Mvua na hali ya kuchafuka kwa bahari katika ukanda wa pwani ya Mtwara kumeshambulia eneo ilikojengwa power plant ya mradi mkubwa wa Gas,sehemu ambayo kuna connection ya mabomba yanayobeba gas kuelekea kinyelezi Dsm,taarifa toka kijijini Msimbati zinasema hadi sasa umebaki umbali wa mita 30 kufikia power plant hiyo,ambapo maji yanaendelea kutafuna ardhi ya nchi kavu.Wanajeshi wa jeshi la wananchi wapatao 300 wako kijijini msimbati wakijaribu kuiokoa Power plant hiyo isititie majini.

Nitapost picha ndani ya dakika sifuri
 
Bibi anaendeleaje? wanamjali? Isije ikawa kama yale ya Bibi Nyau wa Mlima Bugando Mwanza au ya Yule Gagula la Ifunda ... Wakati mwingine ni vema kuheshimu mamlaka za wenye himaya zao ...
 
Hapa hakuna namna zaidi ya kwenda kumpgia bibi magoti, waulizeni walio kuwepo kwenye mrandi wa umeme wa KIHANSI.
Pia watuambie kwa nini mpaka leo zile nyaya za umeme wa gridi ya taifa walizipitisha kwenye kanisa la FullGosple Bible Fellowship pale Mwenge kwa nini mpaka leo hauwaki?
 
Nakushauri kashike.hizo nyaya ukiwa umeacha wosia!
 
Hapa hakuna namna zaidi ya kwenda kumpgia bibi magoti, waulizeni walio kuwepo kwenye mrandi wa umeme wa KIHANSI.
Pia watuambie kwa nini mpaka leo zile nyaya za umeme wa gridi ya taifa walizipitisha kwenye kanisa la FullGosple Bible Fellowship pale Mwenge kwa nini mpaka leo hauwaki?

una uhakika hauwaki kweli umeme ulopita kanisa la kakobe
 
Bibi anaendeleaje? wanamjali? Isije ikawa kama yale ya Bibi Nyau wa Mlima Bugando Mwanza au ya Yule Gagula la Ifunda ... Wakati mwingine ni vema kuheshimu mamlaka za wenye himaya zao ...

Mbona hali ya hewa walitoa tahadhari ya hali hii, hakuna ugagula hapo! by the way, kile kinyumba cha yule bibi wa bugando kilichokuwepo barabarani jirani na hekalu la mdosi bado kipo!? nakumbuka enzi za kukatiza toka magorofa ya mwatex na NHC, Mwanza.
 
inatoka au haitokiiiii???

2015 ndio hii

tuone sasa

The time naona title I thought of you kaka. Vipi huko mtwara? 2015 hii hapa nasikia Dangote anawajengea kiwanda hapo na ajira hivyo hii 2015 mtawapa waliowaletea mradi wa kiwanda
 
Hapa hakuna namna zaidi ya kwenda kumpgia bibi magoti, waulizeni walio kuwepo kwenye mrandi wa umeme wa KIHANSI.
Pia watuambie kwa nini mpaka leo zile nyaya za umeme wa gridi ya taifa walizipitisha kwenye kanisa la FullGosple Bible Fellowship pale Mwenge kwa nini mpaka leo hauwaki?

Asikudanganye huyu. Umeme haujawahi kupita pale kwenye zile nyaya na wala hautegemewi kupita aache uongo.

Jamani ubshi wa nini? Tupangeni siku halfu huyo niliem - quote kwa red akashike nyaya ili tuamini. Angalizo: ashike nyaya tukiwa na uhakika tanesko hawajakata umeme mwenge.
 
Nhnnnnn...ndo msemo wa malipo hapa hapa duniani unatimia au?....... I believe kikosi chetu cah jeshi kiko IMARA kuzuia maji hayo yasizamishe mtambo huo kama walivyotoa gesi mtwala kuja karibu na JK.
 
Hapa hakuna namna zaidi ya kwenda kumpgia bibi magoti, waulizeni walio kuwepo kwenye mrandi wa umeme wa KIHANSI.
Pia watuambie kwa nini mpaka leo zile nyaya za umeme wa gridi ya taifa walizipitisha kwenye kanisa la FullGosple Bible Fellowship pale Mwenge kwa nini mpaka leo hauwaki?

kazi ya wachina hiyo
 
Habari za kusikitisha kutoka mkoani Mtwara ni kuwa Mvua na hali ya kuchafuka kwa bahari katika ukanda wa pwani ya Mtwara kumeshambulia eneo ilikojengwa power plant ya mradi mkubwa wa Gas,sehemu ambayo kuna connection ya mabomba yanayobeba gas kuelekea kinyelezi Dsm,taarifa toka kijijini Msimbati zinasema hadi sasa umebaki umbali wa mita 30 kufikia power plant hiyo,ambapo maji yanaendelea kutafuna ardhi ya nchi kavu.Wanajeshi wa jeshi la wananchi wapatao 300 wako kijijini msimbati wakijaribu kuiokoa Power plant hiyo isititie majini.

Nitapost picha ndani ya dakika sifuri
Acha uzushi hali sasa hivi hiko sawa na kingo za kuzia maji zinajengwa na mambo yako shwari kwa hiyo hilo tishio halipo tena.Wananchi waliharibu mimea kwenye bahari inayozuia nguvu ya maji ya bahari na hili wamekuwa wakilifanya muda mrefu kwa kutumia mabomu kwenye uvuvi ambayo yanaharibu mimea inayolinda ardhi dhidi ya maji ya bahari!
 
Back
Top Bottom