Acha propaganda na upotoshaji,hapo sio kusini bali ni Ikwiriri kwa Manjenga wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani.Mbunge wa wilaya hiyo ni mkwe wa Rais Ndg Mohamed Mchengelwa,na mbunge alitangulia kufika eneo hilo na timu yake siku moja kabla ya Rais kupita na kufanya maandalizi ya tukio...
Mkuu tuombe radhi sisi Wamwera kutoka Nanjilinji,tuna piga pesa ya maana sana kupitia zao la ufuta.Hivyo sio washamba kiiivyo [emoji28][emoji28][emoji28]
Kiuhalisia Magufuli alikua ni Rais wa hovyo,lakini hata huyu Samia ni Rais wa hovyo pia sababu namna ya uendeshaji nchi miongozo mingi anapewa na ma godfather wa genge (syndicate) lililosuka mipango ya yeye kufika hapo!!!!.
Kwa ilipofika Watanzania tuzidi kuamka na kuzidi kujipa mazoezi ya...
Kwenye mambo ya media hilo ni jambo la kawaida,ni lazima wakuflame ili usitoke nje ya mada na kuballance muda.Zaidi ya hapo labda watangazaji wajiridhishe kwamba una uzoefu wa mahojiano.
Binafsi nimeshakumbana na kisa kama hicho kutoka kwa kampuni inayojiita Pesa X.
Niliona tangazo lao mtandaoni nikashawishika kujiunga nao,nikatimiza vigezo vyao vyote walivyo taka kama vile; Majina matatu,kitambulisho cha nida,namba ya nyumba na mahali ninapoishi,picha yangu,wadhamini wawili na...
Ndio,ipo tofauti kati ya Chakacha na Mchiriku.
Chakacha kiuhasilia ni mziki uliokuwa na mienendo,midundo na tamaduni za kimwambao,ambapo kwenye vifaa vya upigaji wake walichanganya magitaa,pamoja na vinanda vya kuvuta huku wakiwa na madensa (wachezaji) walioitwa mafaruku ambao uchezaji wao...
Jina rasmi la wimbo la huo wimbo,unaitwa #Nguvu zake mwenyewe,upo kwenye albam no. 9 (Vol.9) ya Seven Survival "Juma Mpogo".Njoo what's up kwa 0713963812 nitakutumia
Mziki wa mchiriku (mnanda) chimbuko lake ni jijini Dar es Salaam,hususani katika wilaya zote tatu kwa maana ya Temeke,Kinondoni na Ilala pia,kwani katika orodha ya band za mwanzoni kabisa (band waasisi) ukizitaja basi ni lazima uziguse wilaya zote tatu.
Mfano band kama Red Star na Night Star...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.