Recent content by NAMELES LANDABU

  1. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania NCHI YA WATU

    Watu ni mimi na wewe . Watu ni wao , wale , hao na hata yule. Hivyo, kwa pamoja kila mwanajamii ni mtu. Watu na jamii au watu na utaifa Ifahamike kwamba hakuna jamii yenye mtu mmoja na ikaweza kusimama imara wala hakuna jamii yenye watu wawili ama watatu ama hao wachache nayo ikasinama kidedea...
  2. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua. Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe tegemezi. Sichagui dini, ila nitafurahi kama atakuwa ni mwenye kujisitiri. Umri wangu ni miaka 28...
  3. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia pekee inayoweza muokoa Mdude CHADEMA

    Nadhani tujifunze kuishi kutokana na mazingira. Mm sisemi kuwa ndugu yetu anastahili kupokea matokeo hayo ila anapaswa kuelewa kuwa haki hakuna maskani... Pengine ajifunze kupitia risu na wengine wengi. Mm nacho kiamini ni kuwa sheria imemilikiwa na watu wachache hapa maskani. So ni heri uijue...
  4. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

    Inachosha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

    Natafuta rafiki wa kike awe mwigizaji wa filamu hata kama hana jina kitaan, Awe mrefu na awe anajua kingereza kidogo. Awe pia anajipenda. Asizidi miaka 23. Whatsapp no 0623977607 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Hizo Zote Ni Mbwembwe Za Kisiasa Tu.
  7. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    aaaaaaaaaaahhh maji shingoni
  8. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Kuhusiana na madhara yatokanayo na mapenzi ukiwa shuleni wanione mimi
  9. NAMELES LANDABU

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R.I.BABU YETU 6
Back
Top Bottom