Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Nipo dar natafuta rafiki wa like umri wowote na awe mnene na makalio makubwa . Umri wangu mianga 49 mtu mzima. Tuwasiliane kwa Meseji 0754292989
 
Nina miaka 28 natafuta mwenza aliye seriously kwa maisha yajayo awe mweupe kiasi, mnene kiasi, umri kuanzia 22-25, msomi kiasi mana sipendi zarau za wasomi, na tabia iwe Poa ..nicheki inbox
 
Natafuta rafiki wa kike awe mwigizaji wa filamu hata kama hana jina kitaan,
Awe mrefu na awe anajua kingereza kidogo. Awe pia anajipenda.
Asizidi miaka 23.
Whatsapp no 0623977607
1588507214436.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mizaha imezidi sana kwenye hii. Watu wengi ni wababaishaji! Ingekuwa vyema kama kungekuwa na utenganisho kuzingatia umri wa mwombaji au mtafutaji. Mods tunaomba jukwaa la watu wazima ' Umri iwe kigezo' Kuna wajane wagane oops sijui kama kuna kitu wagane(mwanaume aliyepoteza mke anaitwaje) Wengi wanakuwa stigmatized kwa Kufiwa. Nawaza tu!
Liwe kuanzia miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom