Hivi hawa watu wanaoi gjza UDOM hapa wako timamu kweli?Ufananishe UDOM na St something hizo ambazo wao wanawaza kupiga hela tu,kweli,?Huko wanakoenda form 4kuchukua digrii walimu wana levo gan ya elimu kwenye st hizo?Udom ya sasa ni bora sana Ndugu zangu,kwa waliyofika pale wanajua ninachosema!
Huyu chua Kachara ,kuna kitu UDOM ilisha mtenda,aweza kuwa alidisko pale,au nimfanyakazi ambaye ana mgogoro na utawala,kuna mwenzake huwa anajiita UDOM SR,hawani kama walishaajiriwa na MTU kuchafua Chuo,asipobadili ID endeleeni kufuatilia post zake mtaelewa Ninachosema!
Huyo chuakachara sijui UDOM ilishamfanya nini,fuatilieni post zake za miaka ya nyuma,huwa nikuiponda tu UDOM,anafikiri UDOM ya mwaka2007 ndo ya sasa! Na hilo swali ameuliza ili mjadala uanze kati ya UDOM &UD kipi bora,anapendaga sana debate hii
Wataalamu wa saikolojia wanajua hiyo kitu,stail ya kuficha sononi na aibu zilizopo mioyoni ile furaha c halisi in maigizo Yale,Yona na Mramba walikuwa wanacheka hivyohivyo,mpaka walipoingia gerezani
Mm huwa hawaeleweki waweza kaa Haya miaka6,huku wakiwa hawasemi chochote,kisheria unatakiwa kupanda,2017,yaan mwakani,kupanda daraja ni
kila baada ya miaka3,kama unaanza kazi unakaa minne,mmoja was probation!
Ukiwahi huwa wanaosajiri wanakuwa library,ukichelewa ndo kunakuwa na usumbufu,bkz wanaosajir hutawanyika kwenye ofisi zao,kwa kifupi problem solving ni sehemu ya elimu ya juu,!kama kuna MTU alisain hajalipwa,TP&Bum hayo ndo matatizo ya msingi,siyo kumwita RAIS wa nchi kwa sabab wamechelewa...
Maji wanaokata in DUWASA,Umeme wanaokata ni,TANESCO,nikweli hapo kuna shida,hayo ni mambo ya msingi,ukweli ni kwamba RAIS ambaye naye anakaa BlockQ no mwoga sana yule jamaa,na kamanda Mpandalume amemaliza ndo basi tena,Haya hivyo elewa mleta mada alikuwa analalamikia usajir hayo mengine...
Tuliowahi tulisajiriwa bila usumbufu,we utakuwa latecomer,na tatizo nyie watoto wa special diploma
Mnalialia sana Hata VITU vidogovidogo,yaan RAIS was nchi aje asimamie usajiri wa wanafunzi chuoni?hivi hii nayo ni mada ya kuleta jmf,?mi nasoma hapo,nipo educa tion,block Q,nimetoka ujac mda...
Eleza kama msomi,kwa nn watu hawajasajiriwa jenga hoja vizuri,yaan RAIS wa nchi aje asimamie usajiri wa wanafunzi,HV wanafunzi wa SKU hizi mkoje,Kwa nn MTU usisajiriwe,una viambata vyote,vyet viko sawa?Siku nyingine weka post inayojieleza vzr kama msomi.
Hivi nyie watu wa Tamisemi mnaohusika na elimu,walimu walishawakosea nini,inakuwaje MTU adai malimbikizo ya mshahara kwa miaka minne bila mafanikio?wakati viambata vyote ameleta?kila mwaka mnasema fedha zimetengwa bado mnahakiki,ni taarifa gani za kuhakiki miaka4?Natamani Siku moja niwaone kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.