Kwa nini watuhumiwa wakubwa wanakuwa na big smile b4 entering kalandinga?

Mzeewenu

Member
Mar 26, 2016
11
4
Wanachekelea nini?
 
Attachments

  • Wabunge-1April2016.png
    Wabunge-1April2016.png
    39.7 KB · Views: 40
Wana nusu ya utajiri wa Tanzania washirika wake Jeetu Patel
 
Hao ndio watunga sheria na wataalamu wa kuhonga na rushwa.. Mnadhani kushinda ubunge kupitia ccm ni kazi ndogo? Lazima mtu ugilisike dadeki..wazee hapo wamefilisika pesa yote iliondoka kwenye kampeni
 
Hao ndio watunga sheria na wataalamu wa kuhonga na rushwa.. Mnadhani kushinda ubunge kupitia ccm ni kazi ndogo? Lazima mtu ugilisike dadeki..wazee hapo wamefilisika pesa yote iliondoka kwenye kampeni
Wanajirudishia chenji sio
 
Wanajifanya hawajaumia wala kuathirika kwa lolote mpaka wakifungwa ndiyo wanaanza kuwa serious, kumbuka wakina yona na mramba
 
Wanachekelea nini?
Wataalamu wa saikolojia wanajua hiyo kitu,stail ya kuficha sononi na aibu zilizopo mioyoni ile furaha c halisi in maigizo Yale,Yona na Mramba walikuwa wanacheka hivyohivyo,mpaka walipoingia gerezani
 
Eti nikamsikia Lugola anashangilia huku anasema sasa kazi imeanza, tutaendelea kutumbua majipu kama kawaida! Hii ni aibu!
 
Wataalamu wa saikolojia wanajua hiyo kitu,stail ya kuficha sononi na aibu zilizopo mioyoni ile furaha c halisi in maigizo Yale,Yona na Mramba walikuwa wanacheka hivyohivyo,mpaka walipoingia gerezani
ni kweli mkuu, hii inawapa picha wengine kuwa jamaa wanajiamini na kesi watashinda, japo wama hofu kuu
 
Back
Top Bottom