Recent content by Nambayaya

  1. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Sema chochote ''Kinachosadikika''

    Inasadikika tatizo, ukisadiki inasadika.
  2. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

  3. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    makubaliano ya mapenzi ya dhati huwa ya watu wawil...
  4. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

  5. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa yeyote anayehitaji

    Ok poa.
  6. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali?

    Mimi naota kama kuna watu wanakuja kunifanyia mabaya zaidi ni kunitesa au kuniharibia mambo yangu. Na pale nkijarbu kizuia najikuta napiga kelele naomba kusaidiwa kwa hili.. ahsante
  7. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mahasimu kama simba na yanga
  8. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    nashukuru wadau kwa kunielekeza mi nko hapa Dsm hvo ni nina uhakika wa kusema ntafata taratibu sahihi ktk kufatilia PP. asante
  9. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Asante nashukuru kwa taarifa wakuu je? naweza kupata chini ya siku saba kama 3 au nne
  10. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Ndugu wana JF naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa passport ya kusafiria kwenda nje ya nchi kama South Afrika. kwa muda gani naweza kupata passport na vip gharama zake zinakuaje? Kwa anaefahamu tafadhari anijulishe kwa hili.
  11. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    yako yamekushinda utaweza ya mchezo huu...
  12. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Mabomba ya gas mtwara-dar yawasili

    sawa lakin ingekuwa vzuri kama ungeweka na ushahidi au chanzo
  13. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Mkasa: "hivi ndivyo nilivyoambukizwa ukimwi na mwanamke msagaji".....mwathirika

    'Woga wako ndio umasikin wako mama/kaka weeeehhh....!! Umejiroga mwenyewe''. Jaman pole sana kwa huyu dada maana inahuzunisha sana tena ni fundisho pia.
  14. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Mgimwa: Wabunge wenu ndio waliopendekeza kodi za simu sio serikali

    Yaan mi sitamani kuiona ccm, ctaki napata hasira tena nawaambia wananchi wenzangu kama mtu yupo tayari ani PM tutafute idadi kubwa na mabango kupinga hli suala hl. Asanteni
  15. Nambayaya

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kenya aidharau Tanzania

    Hivi kati ya ukweli na uongo nini kinauma? Hapa naona wengine hawataki tuambiwe ukweli sisi bado sana, kila kitu sababu haya yote sio ya serikeli pekee hata sisi raia. Naomba tusifanye makosa kupanga viongozi maana tatzo ndo linaanza hapa. Ebu ona mafisadi, serikali yenyew haina huruma na...
Back
Top Bottom