aunty kemmy,kwa uzoefu wangu wa kujenga madale,mivumoni,bunju na goba,viwanja vingi havina hati,mtu anakukatia eneo mnaandikishiana kisheria na kiserikali mnamalizana,suala la kupima na kushughulikia hati process unafanya wewe mwenyewe,ukibahatika kupata chenye hati kabisa gharama lazima iwe...