Natafuta kiwanja kwa 8M Dar es salaam

Natafuta kiwanja kwa 8M Dar es salaam

Wakuu habari,

Kama mnavyoona hali ya kifendha inakuwa ngumu kila kukicha kwa sisi wengine.
Jamani natafuta kiwanja maeneo haya Boko, Bunju, Salasala au Makongo juu.
Budjet yangu nio hiyo 8M. Kiwe kikubwa kidogo minimum 25 * 30.

Natanguliza shukrani.
Kiwanja kipo maeneo ya vianzi kama utataka nishtue
 
Kama bado hujapata ni PM namba yako kiwanja kipo wazo, Tegeta mtaabwa Nyakasangwe
 
Wasikukatishe tamaa. Nenda kule kigamboni utapata. Vipo vingi tu.
 
Mkuu hata mm nakushauri uende mjini Allepo ,pale unapata bonge la kiwanja km Tanganyika packers kwa mtonyo huo..
 
Wakuu habari,

Kama mnavyoona hali ya kifendha inakuwa ngumu kila kukicha kwa sisi wengine.
Jamani natafuta kiwanja maeneo haya Boko, Bunju, Salasala au Makongo juu.
Budjet yangu nio hiyo 8M. Kiwe kikubwa kidogo minimum 25 * 30.

Natanguliza shukrani.
Karibu Mkuuu,

Ninacho kiwanja kikubwa 24 X 42 Mingoi_Kimere(Ukivuka tu Darala la Mingoi linalotenganisha Dar Esalaam(Bunju Mwisho) ... Nilikuwa na Viwanja Zaizi ya 70 Kwa pamoja Vikiwa kwenye mpagilio mzuri wa plot zenye kuruhusu kila mtu kuwa na barabara ya Kumfikisha Kwake)

Watu wamenunua na Kujenga wanajenga kwa kasi, maji umeme, barabara, vyoote vipo(Maana Njia kuu ya umeme inapita karibu na Plot Zanzgu.

Pia Ninvavyo Viwanja Madale, Kwa Kawawa Na Njia Panda ya Nguzo(Hivi ni 20X 20=na Vingine Vikubwa kidogo..Na Bei ya hivi ni Milioni 13, Mpaka milion 8 inategemea na kiwanja kilivyo).
Karibu Nipigie +255 762 466 293 & +255 784 355 775 MR MBUNGI(Kama unavyo niona kwenye avator)
 
mkuu hicho kiwanja cha madale kwa kawawa kina hati..na vp je 6ml auchukui... hali ngumu saiz mkuu ww mwenyewe unajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom