D DAVIES JF-Expert Member Nov 21, 2011 516 90 Jan 2, 2017 #1 Habari jamaa yangu anatafuta kiwanja maeneo ya Goba au kigamboni 20 kwa 20 bujet yake mil 3 kama unacho ni pm namba nikuunganishe nae ok natoa hoja
Habari jamaa yangu anatafuta kiwanja maeneo ya Goba au kigamboni 20 kwa 20 bujet yake mil 3 kama unacho ni pm namba nikuunganishe nae ok natoa hoja
C cheichei2010 JF-Expert Member Sep 18, 2010 932 350 Jan 2, 2017 #3 Milioni3 goba nna wasiwasi Kama utapata. Nimeenda huko nimekuta 6-10
dalalitz JF-Expert Member Sep 6, 2013 3,418 1,980 Jan 3, 2017 #4 Hii Ofa ni ya kutafuta kutapeliwa tu. Ila, Kila la kheri mkuu.
Nyankuzi JF-Expert Member Nov 3, 2016 465 391 Jan 4, 2017 #5 Ongeza ufike 8.5 Nkupe kiwanja kigamboni kwa pinda kimepimwa
N namatuhikwetu Member Dec 8, 2014 24 12 Jan 4, 2017 #6 njoo madale nikupe kwa bei hiyo,nicheki kwa namba 0786 294545
misasa JF-Expert Member Feb 5, 2014 13,918 9,730 Jan 5, 2017 #7 Nyankuzi said: Ongeza ufike 8.5 Nkupe kiwanja kigamboni kwa pinda kimepimwa Click to expand... Ukubwa wake?
Nyankuzi said: Ongeza ufike 8.5 Nkupe kiwanja kigamboni kwa pinda kimepimwa Click to expand... Ukubwa wake?
C cheichei2010 JF-Expert Member Sep 18, 2010 932 350 Jan 5, 2017 #8 Kuna viwanja vimepimwa puna na buyuni, utapata Kwa 8.5
Nyankuzi JF-Expert Member Nov 3, 2016 465 391 Jan 5, 2017 #10 misasa said: Ukubwa wake? Click to expand... Square meter 785
C cheichei2010 JF-Expert Member Sep 18, 2010 932 350 Jan 5, 2017 #11 Zinaanzia 1000 Kwa Hiyo itakua faida kwako