nickson mangowo
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 113
- 88
Kibaha kwa mathiasi sq 1600 ml 6. Hapo kuna za dalali km lk 5 HV. Nikushawishi ubadili wazo uje kibaha tafadhal
Million 300 kiwanja tu, ina maana 300m Tabata huwezi kupata nyumba?Tabata relini karibu na St Mary's college na kina square m 1600 pia kina hati,kama una milioni 300 uje na mazungumzo yapo
Hicho kiwanja bado kipoKipo madale mil 12, ukubwa 30×20
Kimepimwa. Je kina hati au?Kibaha kwa mathiasi sq 1600 ml 6. Hapo kuna za dalali km lk 5 HV. Nikushawishi ubadili wazo uje kibaha tafadhal
Viwanja vyako vina ukubwa gani? Sh ngap?aunty kemmy,kwa uzoefu wangu wa kujenga madale,mivumoni,bunju na goba,viwanja vingi havina hati,mtu anakukatia eneo mnaandikishiana kisheria na kiserikali mnamalizana,suala la kupima na kushughulikia hati process unafanya wewe mwenyewe,ukibahatika kupata chenye hati kabisa gharama lazima iwe kubwa na pia kwenye kubadilisha umiliki wizarani ni lazima ulipie,hivyo njoo nikuuzie kiwanja madale ninavyo vitatu,then process ya kupima nitakusaidia kwa kukuunganisha na jamaa zangu nilisoma nao chuo wao ni ma-surveyor wapo wizara ya ardhi,ofisi ya ardhi kinondoni nk ili waje wakupimie na wakupe michoro kwa hatua za kuprocess hati,napatikana kwa namba 0786 294545
Aiseeeeh!Me nna laki tano nataka kiwanja.
Vp sipati???Aiseeeeh!
Kibaha vinaanzia bei gani?uhitaji wako kiwanja , kampuni yetu inajishughulisha na uuzaji wa viwanja pamoja Na ujenzi wa nyumba kwa gharama nafuu sana, tuna viwanja kigamboni,Mvuti,Mkuranga,kibaha,na kongowe ,katika size tofauti na na bei tofauti,.VIWAJA vyote vimepimwa na utafanyiwa utaratibu wa kumiliki hati .Pia tunatoa huduma ya uwakala wa ununuzi viwanja au majengo kwa niaba ya mteja.
karibu tukuhudumie 0762 576878. CHAD CREATION CO LTD.
tupo Machinga Complex ghorofa Ya 4
Weka na namba ya sm yako ili wtu wakutafuteHabari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.