Recent content by naluhwa

  1. naluhwa

    Picha ya nyati mweupe aliyeonekana Ngorongoro

    Hao watafiti wanamsaka ili wamsafilishe halafu wanatuzuga eti atakua kivutio Tz
  2. naluhwa

    Nifanye nini ndugu zangu

    Watuwengine bwana mtu anakuambia anaboyfriend bado unamng'ang'ania tu bint wa watu kaamua kubaki njia kuu michepuko sio dili ww endelea kuendekeza michepuko hvyohvyo
  3. naluhwa

    Uliwahi kusikia hizi tamaduni?

    Mtoto akitanguliza meno ya juu(wanayaita ya plastics)ni laana kwahyo anatupwa hiyo ni kilimanjaro
  4. naluhwa

    Nina tatizo hili, nisaidien

    Pole sana vp umewahi kwenda hospital? Kama bado inabidi uende vipimo ndio vitaonyesha kuwa unatatizo gan
  5. naluhwa

    TV Series Reviews

    IRIS,vampire diaries
  6. naluhwa

    Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu, hii ni sala au kanuni

    No life after death..kama hukutengeneza maisha yako ukiwa hai hata ukiombewa na dunia nzima dhambi zako hazitafuta kamwe If your not right...go left,,
  7. naluhwa

    Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

    Mmh kweli michepuko sio dili...dili ni ulabu tu If your not right...go left,,
  8. naluhwa

    Madaktari Shinyanga watimua mbio baada ya mgonjwa kuonyesha dalili za ugonjwa wa Ebola

    Ebola ni noma ee Mungu tuepushie gonjwa hili hatali If your not right...go left,,
  9. naluhwa

    Hatutashambulia Tanzania ila ziwa lote ni la Malawi

    Muthalika katumia siasa hapo If your not right...go left,,
  10. naluhwa

    Ujue umihimu mkubwa wa kupima upepo wa tairi za gari lako

    Somo zuri sana umetusaidia wengi If your not right...go left,,
  11. naluhwa

    Kuna style za vyakula huwezi agiza ukiwa na wakwe

    Dah ndio kinaitwaj hiki chakula If your not right...go left,,
  12. naluhwa

    Msaada nina mtaji wa Tsh.5 milion nifanye biashara gani?

    Mm mwenyewe nimeshangaa sana inamaana identity ya mtanzania ni biashara? If your not right...go left,,
Back
Top Bottom