Msaada nina mtaji wa Tsh.5 milion nifanye biashara gani?

shikamooni wakubwa wadogo marahaba. Naombeni mawazo yenu nina kiasi cha milioni4 cash ila nahitaji mawazo yenu, ni biashara gani ambayo itakuwa haraka kwa mtaji huo?. Natanguliza shukrani kwa mtakaonisaidia jambo hili.

Go to www.alibaba.com
 
milioni nne ni pesa ndogo sana lakini mi,i naweza nika share nawe biashara ambayo unaweza ukaifanya kwa mtaji mdogo kabisa na ambayo haina headache, stress free pia ni endelevu call0657088003
 
Mambo hadharani haya mambo ya nipigie nikupe ushauri baadae ndo mtu analizwa, mtaji wenyewe mdogo
 
Utakuwaje na majina ya ajabu ajabu bwana?
Hii inadhihirisha msingi wa kitu unachodhani ni tabu, unakuwa haujiamini kama utaweza.
Why?
Kama wengine wanaweza kwa nini wewe ushindwe? Na inawezekana ukaweza hata zaidi ya walioweza!
Usije ukamwita mwanao majina kama hayo: Mateso, Mashaka, Tabu, Shida, Sikudhani et.c, et.c.

Toa majina kama Faraja, Uwezo, Bahati et.c
Mtoto hukua akiwa analitumia sana jina lake kuthibitisha kuwa yeye yuko kama jina lake lilivyo au linavyomaanisha na watoto wenzake humtania kwa kumfananisha na jina lake naye hukua akiamini yuko kama jina lake lilivyo.

Waite watoto wako wawili mmoja Osama na mwingine Obama halafu wote wawe exposed katika mazingira sawa, baada ya miaka 20-25 uje uangalie kila mmoja atakuwa yukoje!

Kuna uwezekano mkubwa kuwa Osama atakuwa mbabe, atakuwa na tabia za kuwafanyia watu kitu mbaya au anaweza hata kuwa jambazi na Obama anaweza kuwa hata mwanasiasa kama tunavyowaona kina Mnyika, Zitto n.k

Au ktk watoto wako wawili mmoja umwite Isaack wakati wewe baba yake unaitwa Newton (mtoto awe Isaack Newton) halafu uone atakapoenda shule atapenda masomo gani!

ONYO: Usijaribu kwa wanao - "Mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya WENZAKE, mjinga hujifunza kutokana na makosa YAKE!"


Simaanishi kuwa majina ya Kizungu au ya kigeni nd'o mazuri NO!
MUHIMU: Mpatie mwanao jina litakalomfanya ajisikie anaweza, ajione kuwa anaweza kuwa kama mtu maarufu aliyekuwa na jina lake au anaweza kuwa kama jina lake lilivyo!

Tuwe makini na majina, kama ulishapatiwa jina la mtindo huo kama nilivyotaja hapo juu basi pole sana, lkn siyo mwisho: BELIEVE YOU CAN. Lkn usilogwe kuja kumwita mwanao majina ya ajabu ajabu!

My name is Richard and most Richards are Medical Doctors and SO I AM;
NOTE: Do not copy me wrongly: It doesn't mean that all Doctors are Richards (kama unabisha angalia literature yoyote ya mambo ya afya ya binadamu iliyojaa contributors kama hautaona Dr......Richard.
Richard also means "A brave person"
Jina langu jingine naitwa "Hakili" maana yake "Afadhali"


Ni maoni yangu tu!
I stand to be corrected!



pixel.gif
pixel.gif

nimekusoma 1500% mkuuuu
 
<br />
<br />
jaman ivi ukiwa mtanzania lazima ufanye biashara basi balaa wengne hata udalali hatujawah.

Mm mwenyewe nimeshangaa sana inamaana identity ya mtanzania ni biashara?


If your not right...go left,,
 
Habari ndugu

nina mtaji wa sh milion 5 naishi dar naomba ushauri biashara ya kufanya.
 
Habar yako mdau. c pesa nyingi na c pesa ndogo sana, kwan hata mimi nilianza na mtaji kama huo ni kwa biashara ya KUUZA VIFAA VYA PIKIPIKI(Motorcycle spare parts).
 
uza maziwa fresh,nunua mafriza,na vyombo vya kubebea,wahi mapeema alfajiri ubungo oilcom,utapata maziwa fresh kama ukiweza kutengeneza mtindi itakuwa vyema pia.
otherwise fanya biashara ya mkaaa
kama una interest ya mambo ya usafirishaji ni pm kuna route yenye abiria wa kutosha ka utafiti kadogo nilichofanya unaweza pata 100,00 kwa siku.
gari lipo la kufufua then tunaingia ubia.


hata kitimoto inalipa eeeh mambo ni mengi wewe interest yako ni nini hasa?
 
uza maziwa fresh,nunua mafriza,na vyombo vya kubebea,wahi mapeema alfajiri ubungo oilcom,utapata maziwa fresh kama ukiweza kutengeneza mtindi itakuwa vyema pia.
otherwise fanya biashara ya mkaaa
kama una interest ya mambo ya usafirishaji ni pm kuna route yenye abiria wa kutosha ka utafiti kadogo nilichofanya unaweza pata 100,00 kwa siku.
gari lipo la kufufua then tunaingia ubia.


hata kitimoto inalipa eeeh mambo ni mengi wewe interest yako ni nini hasa?


DO MAWAZO MAZURI SANA SANA MKUU WANGU niliwahi kufungua biashara ya stationery kwa bahati mbaya Tanroad wakapitia maeneo so nina baadhi ya vitu ndani
 
mkuu Karibu Sana
Mji Una uhaba Wa Vipozeo Huu..Tafuta Sehemu Nzuri Anza Biashara Ya Vinywaji Hasa Maji,Soda Na Juise Hapo Hapo Uuze Chips ;Biskuti, Cake Husisahau Na Maziwa Aliyoshauri Ndugu Hapo Juu Nk./////
Jipange Vizuri Ufanye Utafiti Na Ufungua Ofisi Safi Ya Udalali Wa Vyumba;Nyumba ,Viwanja N.k Simamia Kwa Weledi Mkubwa///////


Watoto Mkuu
fungua Duka La Bidhaa Safi Za Watoto kama Pedi, Midoli, Nguo, Dish Za Kuogea, Nyonyo Za Plastik, Neti Za Kulalia ,Nepi, Vifaa Vya Kuchezea N.k///////
Husisahau Kuandaa Mpango Mzuri Wa Biashara(Business Plan) Ili Kupata Mbivu Na Mbichi
Alafu Pweza Wanaliwa Sana Mkuu ila Tatizo Wengi Ya Vijana Wanaofanya Hii Biashara Hawazingatii Tips Za Biashara hasa Usafi Na Huduma Bora Kiujumla(Ukiifanya Kisasa Unaweza Kutusua)
 
Naona mtu anataka kupigwa changa hapa
Kama unania ya kwel ya kumsaidia ushauri kwa nn usimshauri hapa??
Kuna siri gani huko kwenye no za sim??
 
Back
Top Bottom