Instrumentation Engineering inahusika na Instruments kama sensors/transmitters (Level, pressure, temperature, flow, ph etc). Hizi Instruments zinatumika na control systems kama inputs/outputs kwa ajili ya kucontrol plant yako ili kupata matokeo unayoyataka.
Instrumentation Engineer/Technician...
Mkuu kwanza unatakiwa ujisajili kwenye website yao, https://registration.erb.go.tz/ then uombe kuwa graduate engineer. ukishasajiliwa kuwa graduate engineer kwa utaratibu wa kawaida unatakiwa ufanye SEAP program kwa miaka mitatu uku ukiandika report ndio usajiliwe kuwa professional engineer...
Hongera sana kwa hizo skills ulizonazo, inaonekana ulikuwa unapenda kujisomea maana sidhani kama kuna chuo kinafundisha hizo skills. Wakuu watakuja kukusaidia kupata hiyo kazi. Mungu akutangulie.
Asalam alykum,
Kila sifa njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, Mwenye Kurehemu. Pia Rehema na Amani zimfikie Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).
Hapa JF kumekuwa na hoja inayojadiliwa sana na isiyokuwa na muafaka, hoja yenyewe inahusu uwepo wa Mungu...
BISMILLAH RAHMAN RAHIIM
Asalam alykum,
Kila sifa njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, Mwenye Kurehemu. Pia Rehema na Amani zimfikie Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).
Hapa JF kumekuwa na hoja inayojadiliwa sana na isiyokuwa na muafaka, hoja...
Kwanza hauwezi kufikia speed ya mwanga , kwasababu kila speed yako inavyozidi kufikia speed of light ndio jinsi mass yako inavyoongezeka kufikia infinity . Na ukiweza kufikia hiyo speed utaweza kusimamisha Muda . Na ukiizidi hiyo speed utaweza kurudisha Muda nyuma .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.