resistor colour code
Member
- May 20, 2015
- 74
- 44
Habari wanajamvi, mimi ni graduate wa BE electrical engineering class of 2018.
Baada ya kumaliza masomo yangu 2018 niliajiriwa na taasisi moja binasi kama electrical maintainace engineer na baadae nilisajiliwa na bodi ya wakandarasi ERB kama graduate engineer.
Nimeshafanya kazi sasa kwa muda wa miaka 3.6 katika taasisi hiyo hiyo huku nikijituma na kuwa nguli kwenye mambo yote muhimu ya fani yangu kama Kazi za vitendo, design na management.
Sasa ni wakati wa mimi kuwa certified kama Professional engineer na board ya makandarasi (ERB).
Kwa yeyote ambaye ana ufahamu vizuri ninaomba anisaidie kwa kunipatia mwongozo from the scratch.
Ninawasilisha na asanteni sana.