Kweli kabisaaa, na no. 2, nimeipenda sana, watu wanakurupuka mno, eti utanioa lini, or sijui nataka kuja kwenu kutoa posa, eeeh, wakati ndio una wiki 3 tangu ufahamiane naye, naogopa such people, kuoana si mchezo, ukikurupuka baadae unaweza ukajuta sana, ukajikuta uko na mtu asiyekufaa kabisaaa...