Yaan ccm wanatak rais asaini ili katiba mpya ikitoka wananchi waipigie kura ya hapana..ili tuendelee kutumia katiba ya zamani. Ccm 2shawashtukia mchezo wenu.
Kwa hy obama alivyo kuja hapa akufany usumbuf kwa wanaichi..vibanda vya wa2 vyakupatia rizik viling'olewa na omba omba wakazombwa je! Obama akufany usumbuf..mnaon CDM,CUF,NCCR ndo wanafany usumbuf kwa wanaich...kwel policcm ni janga kwa taifa!
kweli nyie ndo walewale nyerere aliosema 'umeshika dhahabu isiyo feki anakuja m2 mwenye zahab feki anakuambia shika hii ndo nzuri zaidi na we ulivy zuzu bila kutafakar kwann anakupa unapokea haraka na kujisifia acha uzuzu kuwa kama m2 aliy elimik
katika mambulula we ndo wa kwanza badala uunge mkono gesi ye2 isiende kwa wageni we una mpond R.mengi...alaf ujaxom hp juu alivy jb hajawai kushikilia vitalu vya madini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.