Recent content by Nakioze

  1. N

    Uhalali

    Sec 120 of the PC condemns Fraudulent acts , Civil servants in particular, let us see how Politicians henceforth including Provincial commissioners are exonerated from the act?
  2. N

    Kampuni Ipi ni Noma kati ya Hizi

    Wadau, Nashangaa nyuzi kama hii inaweza saidia nini mtu!
  3. N

    Ushauri: Ninunue gari aina gani?

    Habari yako mkuu, Nakujibu swali lako ingawaje kuna watu ndani ya hii forum kazi yao ni kuzinduka na kuvuruga mawazo ya watu. Pamoja na kwamba hukueleza gari ni katika group gani 2wheel au 4wheel pia bei za gari zinapitana. Gari iliyo ya kawaida sana na hakuna inachokosa na consumption yake ni...
  4. N

    Natafuta Mtu mwenye uzoefu na biashara ya spea Dubai

    Mkuu, Ni rahisi hivyo?
  5. N

    Ni route gani nzuri kubebea abiria kwa Noah hapa Dar?

    Mkuu, Usishangae ameuliza swali la kumsaidia amejibiwa! Hiyo ni kazi. Kuna abiria wengi kutoka mbagala, temeke, buguruni hata wanafunzi wa uhasibu wanaanzia hapo nimesema kuelekea kigamboni. Gari za machinga complex zinapita hapo zikiwa zimejaa hivyo kukiwa na gari ndogo za kuunganisha ni poa...
  6. N

    Mwanaume mwenye nia ya kuwa na serious relationship

    Jamii forum is no longer a place for great thinkers, Mimi naona vibaka ndio wamejaa baada ya kujua kutumia au kuwa na smart phone shida imefika. Mtu anaeleza jambo lake kutoka moyoni akihitaji ushauri kama huna cha kumfaa si ufunge mdomo tu!
  7. N

    Mramba, baada ya kifungo, kwa nchi hii unaweza tu kurudi kwenye siasa na ukakubalika

    Wadau, Asalam aleikhoum. Faiza Foxy na wewe kaveli, kama baba zenu wapo muwafate mkawawashukuru kwa kuwapeleka shule au mtu yeyote aliefanya hivyo. Mnaelewa kabisa kabisa ni nani anatumia taaluma yake kama alivyoipokea au ni nani hawezi. Hawa waandishi wa habari wanaandika kiswahili katika...
  8. N

    Mtanzania Mweusi wa kujenga kiwanda tuwasiliane

    Mdau, Unaona kama kuna wadau wa4 wameshabikia thread yako. Mimi sijakuelewa lengo na madhumuni ya hili tangazo lako. Wewe, ni mbia, mwanzilishi ujenzi wa kiwanda, finacer ama kitu gani? Nisamehe lakini kwa kuwa na kichwa kizito, sio makosa yangu ni maumbile.
  9. N

    Msaada: Nitapata wapi muuzaji wa bidhaa hizi?

    Mdau, Kuna watu wanapenda kuandika vitu wajihesabu wao ni wana forum na wana smart phone wanaweza kuchangia Mada. Hili swali lako ni la kuuliza wana jamii kweli? Hiyo Mali yako so hadimu au ni special saaana kwamba ni ya kutafuta au Ina mpango maalum! Unataka mtu achangie nini zaidi ya...
  10. N

    Ni route gani nzuri kubebea abiria kwa Noah hapa Dar?

    Mkuu, Swali yako nzuri na kweli unatafuta kujikwamua. Cha kufanya: tafuta fundi anaweza kushona chupi ya bati uvae kisha peleka gari yako chuo cha uhasibu pale sjui ni Sam Nujoma au Mandela, peleka abiria kigamboni kupitia darajani....shida viboko, utapigwa viboko Vinngi sana hivyo hiyo chupi...
  11. N

    Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

    Mkuu, Wewe ni mtu una akili ya nini upoteze muda wako kupigia mbuzi gita? Atacheza kweli? Wengi kwenye kutoka marejesho wana zile sababu za Sungura. Kushindwa kupanda juu anasema zabibu za juu mbichi!
  12. N

    Kutoka kumiliki Nissan murano hadi toyota starlet ya 1996,,nitaificha wapi sura yangu kwa warembo?

    Mkuu usimuulize swali hilo mwache ajisifu kwa kuwaonyesha watu. Muiga tembo kunya anajua mwisho wake. Vinginevo analeta hoja awajuwe watu wake.
  13. N

    Ndege mpya yafanyiwa majaribio. Yaenda Kigoma bila abiria na kugeuza bila abiria

    Usiumishe kichwa chako mkuu flight ya majaribio "maiden flght" inabeba watu ambao wako risk covered in case anything happens. Yupo mwerevy mmoja analinganisha service ya ndege na dala dala ya mbagala...kifo na usingizi.
  14. N

    Tetesi: Matumizi ya mitandao ya kijamii kama Waplog, hi5, two nk Dada wengi wa Kitanzania wanaivamia kwa kui

    Wana jamvi. Asalam aleikhoum. Nimewaletea thread hii tujaribu kueleweshana kwa ajili ya kuelimishana na tuwe na nafasi husika katika maendeleo ya kiutendaji kitamaduni na kijamaa. Mtu anatuma picha kwenye mitandao niliyoitaja kisha anafanya private settings, usitizame picha kwa undani wala...
Back
Top Bottom