Recent content by naki wayume

  1. N

    Wasanii wanaoenda chadema ni wale waliofuria kimziki, soma hapa!

    mtu mwenye akili timam huwez kusema eti prof j afande sele wamefuli nyimbo ya jukumu letu huwez ifananisha na nyimbo yeyote ya diamond mpenda wanawake afande sele na mtazamo kuna nyimbo gan ya ommy mashavu kubonyea jipange sana kijana
  2. N

    Lusinde Hajui kuna Tanganyika. Too much kwa nafasi ya ubunge!

    Jina kubwa livingstone lusinde hata halisadifu yaliyomo empty set
  3. N

    Mtoto wa kike wa rais wa Uganda ajitangaza kuwa ni Shoga!

    tangu lin mtoto wa kike akawa shoga au maana ya ushoga huitambui
  4. N

    Walimu wa Serikali ni wazembe kufundisha kisa hawasimamiwi

    jaribu kufanya utafiti itakusaidia kutoa wasifu wa shule za private ukitofautisha na shule za kata utapata majibu sahihi
  5. N

    Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    na iwe hivyo kwa jina yesu coz kitaa nacheza offside kama chacharitto soon napewa red card
  6. N

    Mbeya na mambo yao

    soko matola kuna kanisa lina hadi a.k.a
  7. N

    Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

    si shangai kauli ya kerry kwan nafaham marekan haja wahi kuwa na rafiki hata siku moja yeye ana washirika kwamba wakati wowote unaweza kuwa adui yake waganda hamja katwa mikono na siku zote matatizo kipimo cha akili
  8. N

    Muhimu: Waafrika tusimame, tumuunge mkono M7.

    kama m2 amefanya jambo jema ya faa kupongezwa japo kuwa kuna matatizo mengi sasa kama wewe unadhan kafanya jambo la kijinga basi wewe ni dhairi wa shairi kama sio shoga basi una vi element vya ushoga
  9. N

    Mgombea Urais atakaye Pinga Ushoga apewe Kura zote za ndiyo mwaka 2015

    suala la ushoga sio la kisiasa kama tuna dhamira ya kwel kuhusu kupinga ushoga basi rasimu ya katiba mpya ileze wazi suala hili sasa sio 2015
  10. N

    Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

    unafanya kaz ya ku edit taarifa ya watu inaonesha jinsi gan ulivyo mpagan wa mawazo ni bora kukaa kimya kuliko ukadhan ni ujanja kupost uwongo
  11. N

    Zitto Zubery Kabwe Anafaa Kuiongoza CHADEMA!

    ushauri wa bure kabla ya kupost thread yako isome kwanza mfano neno 'mapanzi' lina maana gan
  12. N

    Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    huyo mbuzax c mtangazaji nimekuwa mbeya almost 3 years nilikuwa namsikiliza sana hawez compete na sugu bado sana
  13. N

    Mahakama kuu kanda ya Iringa yatoa onyo kali kwa polisi kunyanyasa wanahabari...

    Bora mim nae soma english course sophist
  14. N

    Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

    Bush alisema bora kenya 2nackia mgogoro kuliko tanzania miaka 10 bila kiongoz
Back
Top Bottom