Zitto Zubery Kabwe Anafaa Kuiongoza CHADEMA!

Zitto Zubery Kabwe Anafaa Kuiongoza CHADEMA!

Ni ukweli mtupu. Dogo zitto ana uwezo mkubwa wa kuunganisha watu tofauti na mwenyekiti aliyepo.
Kuanzia vyombo vya dola, ccm, uamsho, al-shabaab na vyama vingne vya upinzani dogo bila kusahau na taasisi za kiusalama wa nchi zitto ana uwezo wa kukaa nao hatimaye tukafikia mwafaka wa kitaifa.

Ana uwezo wa ku-organise taasisi na mashirika ya kimataifa na hiyo ni sifa moja wapo ya kuwa kiongozi.

Tatizo ni mahala au chama cha kutimizia malengo yake ndo shughuli ilipo.
Unaweza kuwa na nia nzuri ya kuongoza watu shida ikaja kwenye watu wako wa chama kutokuwa na nia na malengo kwa ya kwako.

Nafikiri hili ndo lilimfanya hata baba wa taifa ashindwe kutimiza ndoto zake za kuwakomboa watz. Alikua kazungukwa na matapeli wa kisiasa wa kuuma na kupuliza kama tunaowaona leo hii chadema.
Zito kama nyerere ila keshafelishwa.
 
ushauri wa bure kabla ya kupost thread yako isome kwanza mfano neno 'mapanzi' lina maana gan
 
Tatizo la tz ni ushabiki na sio mantiki. Wengi wanasema zzk kapewa hela na ccm, wengine wanamuita msaliti lakini bado hawaangalii ni kwanini hayo yote yanatokea. Why now? no body ask individually why this time, what happened and what's going on.
 
Zitto Jembe la ukweli,subiri uone kalenga watakavyo endelea kuonja impact ya Mh.Zitto!
 
Achana na zitto tujadili matokeo ya form four

zitto ni msaliti tena kwa vipande30
 
Eti kiongozi mwenye mapenzi ni yule sliyekitumikia kwa muda mrefu toka utotoni! Umeshindwa kuleta hoja mapenzi kwa chama yanategemea maamuzi,ukisema hivyo unamaanisha ukiwa mtu mzima akijiunga na chama hawi na mapenzi mema?
kutumikia kwa muda mrefu si sababu ya kuwa mzalendo tafakari upya ulete hoja.
 
Kwa Chama chochote cha siasa kufanikiwa kinahitaji kuwa na Viongozi wenye mapanzi ya kweli na Chama husika.Mapenzi ya kweli kwa Chama husika huja pale MwanaCHAMA anapokuwa amekitumikia Chama kwa muda mrefu sana tangu utotoni (Chipukizi) hadi utu uzima wake.Kukitumikia Chama muda mrefu hivyo kunakufanya uwe hisia za upendo juu ya Chama hicho.Kuna aina flani za hisia unazitengeneza juu ya Chama kwa vile umekuwa nacho kwa muda mrefu.Zitto alishawahi kusema kuwa hataweza kuondoka Chadema kwasababu ana mapenzi nacho ya dhati,Najua kuna baadhi ya watu walichukulia kauli ya Zitto kama mzaha flani hivi ila kwa sisi tuliosomea Organizational behavior study tumemuelewa vizuri sana.Zitto anafaa sana kukiongoza Chadema kwasababu hajawahi kuwa Mwanachama wa Chama kingine.Mbowe,Dr Slaa,Tundu Lissu na wengieo wote hawa walitokea CCM na wana unasaba na CCM kwa asilimia kubwa.MwanaCHADEMA jiulize kwanini baada ya Zitto kutimuliwa na Chadema hawa CCM hawaonekani kumchangamkia kama ilivyokuwa kwa akina Mwampemba?Kaa tafakari.

Huyu msaliti anafaa kuongoza familia yako.
 
Duuu huu uzi hauja futwa tuuu!! kwl nimeamini "jf msifie zitto uziwako uishi miaka mingi"
 
Sasa huyo msaliti atongoza CHADEMA kama nani, ,maan mpaka sasa hatambuliki CHADEMA huko? Ni hatari kubwa kuishi na msaliti.
 
Kwa Chama chochote cha siasa kufanikiwa kinahitaji kuwa na Viongozi wenye mapanzi ya kweli na Chama husika.Mapenzi ya kweli kwa Chama husika huja pale MwanaCHAMA anapokuwa amekitumikia Chama kwa muda mrefu sana tangu utotoni (Chipukizi) hadi utu uzima wake.Kukitumikia Chama muda mrefu hivyo kunakufanya uwe hisia za upendo juu ya Chama hicho.Kuna aina flani za hisia unazitengeneza juu ya Chama kwa vile umekuwa nacho kwa muda mrefu.Zitto alishawahi kusema kuwa hataweza kuondoka Chadema kwasababu ana mapenzi nacho ya dhati,Najua kuna baadhi ya watu walichukulia kauli ya Zitto kama mzaha flani hivi ila kwa sisi tuliosomea Organizational behavior study tumemuelewa vizuri sana.Zitto anafaa sana kukiongoza Chadema kwasababu hajawahi kuwa Mwanachama wa Chama kingine.Mbowe,Dr Slaa,Tundu Lissu na wengieo wote hawa walitokea CCM na wana unasaba na CCM kwa asilimia kubwa.MwanaCHADEMA jiulize kwanini baada ya Zitto kutimuliwa na Chadema hawa CCM hawaonekani kumchangamkia kama ilivyokuwa kwa akina Mwampemba?Kaa tafakari.

Kwa hiyo...?
 
Back
Top Bottom