Recent content by Nakandamiza Kibara

 1. N

  Viongozi wa dini za kiislamu na kikristo waunda kamati ya kulinda umoja nchi

  Chanzo ni radio Imani na madai yao ya kijinga ta kusema kuna memorundum .Kwa zanzibar chanzo ni KAFU kushindwa siasa kuingiza dini .Kikubwa zaidi twena ni waislam kukimbia shule na kujawa na umasikini wa akili hadi mali matokeo yake ni haya .Wewe unadhani chanzo kingine ni kipi ?
 2. N

  Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

  Huyu demu ni kiboko sana.Hata mie mate yamenitoka .Hongera sana kijana Ben umechukua taste zangu kabisa .Mengine ni upuuzi wewe piha siasa kaka .
 3. N

  Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

  Kaka funguka kwanza naona unaongea ukiwa usingizini amka.Listen Nape na wahuni wenzake walienda Goba .Wakaacha kuongelea maswala ya Nchi ikawa ni Mnyika nk .Chadema wame enda wameongelea mikakati yao na nini wamefanya na pia wakajibu hoja iliyo tolewa na Nape ni kawaida ndiyo politics uliyaka...
 4. N

  Dk John Magoti anakifilisi chuo cha Nyerere Kigamboni

  CCM kila mtu ana mradi wake JK miradi ya gesi na mengine mnayajua Kinana mradi wa tembo wetu na mengine mwayajua Ma polisi wana miradi yao pia Lowasa ana miradi . Pinda na Makinda mnaijua miradi yao sasa mnamshangaa Magoi ? Yeye aliona Mwalimu kafa masikini kwa jina la wataznania hawezi...
 5. N

  Baraza la wawakilishi lafunguka: Tusilazimishane katika muungano huu. Watanganyika wanatuhadaa

  Sasa naamini ukisha kuwa muislam unaandamwa na laana .Haya wacha walie na Vatican
 6. N

  Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!

  Nilidhani ina PhD kumbe ni MD ? Wenzako wa fani zako Ulaya hawaitwi na Dr.Hata kama ni MD hadi wawe na PhD wewe kaka vipi ?
 7. N

  Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa?

  Hivi ndugu waislam nani katulaani ? Yaani tuna acha kusimamia mambo ya maana tunataka shari.Sisi waislam Dunia nzima tumekuwa kituko .Tuna madai lukuki ambayo hata kwenye uislam kwenyewe hakuna .Hebu tuacheni ujinga ni muda sasa wa kuendelea .Wenzetu wakristo tunawapigia kelele wao wanafanya ya...
 8. N

  Nape: CCM kuwarejesha kwenye ukweli vijana waliopotoshwa na wapinzani

  CCM bana aliye waroga anaishi mtoni mtongani ndiyo maana akili za nape zimekaa kama nepi ya mtoto mdogo .Tanzania ya leo labda hao clouds anadhani wana influence na vijana wa kitanzania wasiopenda rushwa .Pole sana Nape na ukilaza wako
 9. N

  Mtei awashauri viongozi CCJ wahamie CHADEMA

  Mzee wa Kijijini umesema mawazo yako sasa endelea kuweka nyama juu ya yale mawazo ya Mtei uliyo pinga hadi ukaleta TLP na CUF . Upinzani Bungeni mkuu unatakiwa sana maana ndiko zinako andikwa sheria za Kuongoza Nchi nk au kuna mahali pengine ?
 10. N

  Operesheni Sangara yaingia Lushoto; kwa Makamba

  Kama kweli CUF wamesimama Tanga is well and good . Chadema hawako kuimaliza CUF bali CCM . We need CUF kuwa mbugeni na kushika madaraka pia . Sasa tolea ushahidi wa madai yako uliyo yatoa hapo juu mana they make no sense . Kmaa una bisha onyesha 1.Uchaga 2.Kanisa 3.Mbowe being a one...
 11. N

  Hawa ndiyo JK anawaita wawekezaji wa kukaribisha

  Kwa JK na kundi lake Mzalendo ni mtu mwenye kutoa kidogo na kuchukua zaidi toka Tanzania wao hawajali maana wanapata %
 12. N

  Operesheni Sangara yaingia Lushoto; kwa Makamba

  Zitto yuko Masoni bado so hayupo
 13. N

  Operesheni Sangara yaingia Lushoto; kwa Makamba

  watu wametumia kika mbinu kushinda kwa haki lakini ilikuwa ndoto kubwa . Je kabla swali lako uliona aina na namna uchaguzi ulivyo andaliwa ama wewe unatehgemea kushinda bila kuangalia uhalisia wa mchezo ?
 14. N

  Operesheni Sangara yaingia Lushoto; kwa Makamba

  GS These guys are doing what they have been taught to preach .Wanaimba wimbo ule ule wa udini , ukabila nk ambayo ndiyo nguzo kubwa ya CCM na CUF . Tuangalie udini tuone kwenye CCM na |CUF kama kipimo ni Mbowe kuwa kiongozi then ndiyo uchaga . Chadema ni chama cha Kitaifa kwa kila hali . Turudi...
Top Bottom