RIP Mti Mkavu (Hauchimbwi dawa).
Kama Mwanajeshi alikuwa juu sana ila alipoingia kwenye Siasa na kuwa Mkuuwa Mkoa, nafikiri ilimshinda (nisahihisheni kama nimekosea).
RIP Major General Mayunga.Daima mchango wako utakumbukwa hasa vita vya Uganda.Naomba kuweka rekodi sawa nikotayari kusahihishwa Mayunga alikuwa na cheo cha Major General si Luten General.
Baba Sikonge hajawahi kuwa Mkuu wa Mkoa......Ila Alikuwa mwambata Kenya(Balozi wa kijeshi),akabadilishwa na Gen.Sarakikya........Mwishowe Akapewa Ubalozi wa Kisiasa pale Nigeria na India at different time..(nami napokea masahihisho).Ila hajawahi kuwa Mkuu wa Mokoa Mkuu

Mkuu marehemu mti mkavu alikuwa ni Lt. General na si Major General, baada ya kustaafu alipandishwa cheo kutoka Major Gen. kuwa Lt. General na ni Lt. Gen. Mayunga pekee ambaye alikuwa na cheo cha Lt. Gen. bila kuwa MKUU WA MAJESHI kwa kuwa historia inaonyesha ma Lt. Gen wote walikuja kuwa Wakuu wa Majeshi au Wanadhimu Wakuu wa Majeshi.
Wale ni wanajeshi wangeachwa huko huko jeshini sasa haya mambo ya kuchanganya siasa na jeshi nadhani wenyewe mnayaona yanavyotukost. Mwanajeshi awe mwanajeshi basi akae Barracks aletewe nyama ale, aletewe dry ration ale, apewe bia isyo na kodi anywe, afanye usafi ama route match na siyo kupiga siasa kwenye majukwaa ama kuwa Balozi!

Wakuu taarifa za uhakika nilizopata kutoka nchini India kuwa mpiganaji wetu shupavu na kiongozi mwadirifu, Luteni Gerenali Silas Mayunga hatuko naye tena, amefariki leo katika hospitali ya Apollo New Delhi, India ambako alikuwa amelazwa tangu mwezi, Julai 2011.

Generali Mayunga atakumbukwa kwa mengi kwa jinsi alivyotumikia Taifa letu kwa utumishi uliotukuka, atakumbukwa daima kwa jinsi alivyoongoza mapambano ya vita vya Kagera kumng'oa Nduli Idd Amin.

M/Mungu ailaze roho yake mahali pema. RIP.
si kweli na waombe radhi wana JF
Mbona hutaki kumtaja L.T GENERAL IDDI SALEH GAHHU?
Mungu amlaze peponi shujaa wetu.....Mashujaa kama hawakumbukwi,Mafisadi ndiyo wanaotukuzwa tu hata wakijiuzulu bado kutokana na ujinga watu wengine hulia hadi kuzimia!