Recent content by Nakadori

  1. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Dunia haiko fea kwakweli
  2. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Kwenye jambo la mtu kakakakakaaaa mbaliiii
  3. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya ujenzi

    Yupo dar ila hata mikoani anakuja Mpigie umujlize
  4. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

    Wasukuma wengi wa mjini wamekuwa wapigaji tuu bora wa huko ngudu
  5. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya ujenzi

    Mpigie huyu mzanzibari pia ni mwana jf atakupa accurate figure maana ndo kaz yake aliyosomea
  6. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Heri ya Noeli wanaJF. My beloved mama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

    Pole Karibu kwenye chama cha mayatima Yatima hadeki
  7. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaofaa kuolewa

    Hao ws full package labda mkaumbe wa kwenu. Nyie wenyewe sio full package alaf mnataka full package... ndo maana ndoa siku hizi hazidumu. Hayo ya kuwa full package waliweza bibi zetu tu
  8. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaofaa kuolewa

    Hahaha 🙌🤣🤣
  9. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaofaa kuolewa

    Alaf wanaume wanapofwata wanawake kuna vitu tofauti wanafwata kwa wanawake.. Yuko me anayempendea mwanamke mapishi Yuko me anayempendea mwanamke sex Yuko me anayempendea mwanamke appearance tu Yuko anayependa kingine n.k n.k Sasa kupanga ni kuchagua kama ulinipendea lingine alaf tumefika ndoani...
  10. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaofaa kuolewa

    Kwan amenioa nikapike?? Kupikiwa ni offer tu huwa tunatoa....
  11. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaofaa kuolewa

    Abee Eti wa kuolewa waweje? Me mbona siko hivyo ila jf imeshanipatia mume na danga vyote kwa pamoja ...kazi ni kujigawa tu mda gani wa danga na mda gani wa main road
  12. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Thank you dear
  13. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mjini akili tu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mwishoni kila mtu atafunga hesabu Mwingine hesabu ya matusi Mwingine hesabu za dollars (say it again ....dollars )
  14. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mjini akili tu

    Kazi ziendelee Sina cha week end... 🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
  15. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mjini akili tu

    💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃 😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇 Veepe kuna tusi jipya kwenye kamusi yenu?? Napita kwa kucheza kwakweli. Pale ambapo najua Mungu halali wala hasinzii. And you know what??? Publicity is publicity
Back
Top Bottom