Recent content by Nairobian

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

    Naililia nacho yangu !
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

    Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa. Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagera? Kunahitajika suluhisho la Kisiasa au Kisayansi?

    Ni swala la kuhuzunisha kuona kila janga linawaangukia wana Kagera. Mv Bukoba, Karena. Tetemeko Kagera, Ndege Kagera. Inamfanya mtu kujiuliza: je, tatizo ni nini? Au Serikali inangalie kama ni kitu scientific na Kagera kinachoipelekea mkoa huu kuwa na majanga makubwa ya kitaifa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wenye CCM Wasiogopwe

    Hahahahahahaha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wenye CCM Wasiogopwe

    Nape na January wanajiona nchi ni yao
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wenye CCM Wasiogopwe

    Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni, Nape Nnauyr alisema wqzi kwamba chama kimerudi kwa wenyewe. Hao wenyewe ni wakina nani? Nadhani...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Video: Sirro hawezi kujibu maswali Magumu, ashindwa kusema Taarifa za kiinteligensia ni nini?

    Siro is an empty headed idiot. Anajua kabisa taarifa zao za kiintelijensia ni kuhusu Chadema. Mbona hajawahi kupata taarifa za intelligentsia za CCM.? What a fool ?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tandala Kalewa madaraka, anamtapikia mwenye Msitu

    CCM wenyewe kwa wenyewe Rahaaaa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!

    Wajanja wamepata fursa kuanza upigaji
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rest in Peace Bishop
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    The arcitect of this project is a genius
  12. N

    JamiiForums Tanzania Video: Tanzania Royal Tour

    Kama kuna Genius ndani ya Tanzania, basi ni architect wa hii film. Ndani ya Serikali, mtu aliyekuja na hili wazo inabidi apewe tuzo maalum la ushujaa. Ni wazo bora zaidi kuweza kutokea katika hii nchi maana wale jamaa wa TTB wanakula billions akini hakuna kitu kama hiki Wizara ya utalii...
  13. N

    JamiiForums Tanzania CCM ni ya nani?

    Makamba na Nape
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga

    What's the point?
  15. N

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda China wakanusha vikali kuhusu kupora uwanja wa Ndege Entebbe nchini Uganda

    This is so sad for the continent
Back
Top Bottom