Na wewe ukampa hiyo ela? Fanya mpango na mimi unitumie nusu ya hiyo basi...
Ana switch off coment uli waliwahi kutapeliwa wasicomment
Na wanabadilisha account zao kila siku
Afadhal ya bangi ila nayo asizid akafanya chakula ila mlevi apana..wakishalewaga mwanamke anaepita mbele yake huyo huyo... Sasa ukute bar nyingine wale mabaamed wakijua jamaa kashalewa awachez nae mbali tena wajue jamaa ana ela wanamganda ad anasahau kwake
Wenye sup hela ya kujikimu hucheleweshwa wanaweza kukaa mda mrefu bila kusaini hawatoi sababu hapo.
Huwezi kusaini hela ya kujikimu kama hujalipa ada na wengine hutumia hizo ela kuongezea ada lakini wao hawalitambui hilo. Na kuna muda unasainishwa fom kuonesha ada unalipa lini pale utakapopewa...
Your pain
Yet more my pain
Shall sufocate oppression
Your scar yet more my scars
Shall remembering the whip
Your blood yet more my blood
Shall irrigate out victory
Hili poem kaandika nan?
Na linaitwaje nimelishalisahau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.