Viwanja vinauzwa vipo msumi kwa bundala

Viwanja vinauzwa vipo msumi kwa bundala

mculture3

Senior Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
126
Reaction score
166
Msumi Plots.jpg

Habari,

Viwanja vizuri, Vinapatikana MSUMI KWA BUNDALA, BEI KUANZIA Tshs. 3,500,000/= MPAKA Tshs. 6,500,000/= (Kama unavyoviona hapo kwenye Picha)

Tuwasiliane kwa Mob. 0654308809
Karibuni sana.....
 
Habari
Nauza kiwanja chenye hati Kigamboni - Changani beach
Size - Sqm 900+
Bei - 9 Milioni
Mawasiliano - 0753066664
 
Mkuu ungetafuta mtaalam avigawe hivyo viwanja kwa size ya kueleweka ingependeza zaidi. Ni heri viwe vichache vyenye bei kubwa.
 
Mkuu ungetafuta mtaalam avigawe hivyo viwanja kwa size ya kueleweka ingependeza zaidi. Ni heri viwe vichache vyenye bei kubwa.
Jaluo nyeupe, mbona hizo size ndio standard nzuri kwa kujenga nyumba!
Kumbuka kule ni medium density.
 
Habari
Nauza kiwanja chenye hati Kigamboni - Changani beach
Size - Sqm 900+
Bei - 9 Milioni
Mawasiliano - 0753066664
Kimbiji beach nimenunua kiwanja cha square metres 1104 chenye hati kwa Tsh 3.5M,,,,,, wewe unauzaje square metres 900+ kwa milioni 9??
 
Kimbiji beach nimenunua kiwanja cha square metres 1104 chenye hati kwa Tsh 3.5M,,,,,, wewe unauzaje square metres 900+ kwa milioni 9??
Mkuu hicho chako ndugu yangu anaomba umuuzie kwa 4M nicheki PM fastaa
 
Kimbiji beach nimenunua kiwanja cha square metres 1104 chenye hati kwa Tsh 3.5M,,,,,, wewe unauzaje square metres 900+ kwa milioni 9??
Market price brother Man Mvia.
Kimbiji na Mbezi ni maeneo mawili tofauti sana.
Kama una nia, tuwasiliane in box pls.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom