Recent content by Nahonyo

  1. Nahonyo

    Mchungaji Emaus Mwamakula unakosea kutoka na andiko lako la hivyo Facebook,kwamba hao mashekhe ndiyo wamebeba agenda ya waislamu wote? Andiko la hovyo

    Nimeona video, mkenya akielezea tofauti iliopo kati ya Tanzania na Kenya. Ameeleza kinya kinachoitesa nchi yao ni ukabla, Tanzania inatafunwa na udini. Ameeleza Tanzania marais hupokezana kwa kuzingatia dini zao.
  2. Nahonyo

    Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

    Hata hivyo, mila zenu, zinawrza sifanye kazi kwa mtu wa mila zingine
  3. Nahonyo

    Azam inatisha

    Kweli kabisa, ukizingatia imeanzishwa 1996 tu..
  4. Nahonyo

    Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    K Kuna muhubiri anasema Mungu, alimuumba binadamu kwa mfano wake, hivyo mfano wa Mungu ni wewe Mwenyewe. Usiniulize jinsia wakati jibu lipo hapo.
  5. Nahonyo

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Mkubwa maprofesa wa kikiafrika tu nfiyo utakuta wanakuwa waajiriwa kwenye Siasa, ila profesa uhalisia wao ni wataalamu. Kwenye zilizoendelea wao ndiyo watafiti na wagunduzi mambo mbalimbali ya kitaalamu, Wao walitakiwa kugundua utengenezaji wa silaha na dhana, mbalimbali za kijeshi, ili kuokoa...
  6. Nahonyo

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Unazani zile ndege za kijeshi kule Ezirael zinaendeshwa na madeva wa Basi, Uzuri jeshini marubani wanalipwa vizuri.
  7. Nahonyo

    Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Huu utekaji kwa sisi wenye akili za kichunguzi, hii kitu imepangwa, ili mada ikolee, moto.
  8. Nahonyo

    Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Ni kweli, kama trampo kule kwao wahamiaji anataka kuwalisha mamba, nini mateso kwa jambazi. Majambazi Wametuondolea mzee wetu Mwana siasa Mzee Mvungi.
  9. Nahonyo

    Ukifikiria kiundani hili la kununua maji ya kunywa ni ulimbukeni na ushamba

    Mkubwa kuna vitu vya ndani ya nyumba yako, Wewe ndiyo mkuu wa utawala nyumbani mwako, ni kuamua unachoona kinafaa.
  10. Nahonyo

    Sijatahiriwa,mwenye ujuzi na mwenye kujua umuhimu wa tohara aniambie!

    Mbona umekua ukikata kucha, mbona umekua ukinyoa nywele Kichwani na sehemu za siri kwanini si Uliumbwa nazo.
  11. Nahonyo

    Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

    Tandika kaburi moja ni mtaa, ndani ya Tandika hivyo unaweza kufika tandika, hata huo mtaa ukapita usijue ukajua umepita Tandika. Mfano Mbezi Mwisho, kuna mitaa unaitwa O.G. mwingine Kitopeni iko jirani stand kuu ya Mabasi Wasiyo wenyeji hawajui majina ya mitaa.
  12. Nahonyo

    Wadau Watilia shaka uwepo wa mtu mwenye suti nyeusi karibu na Tundu Lissu Mahakamani

    Hata sikumbuki uliandika nini Mimi umecoment zaidi ya Mara kumi, niitunze ipi, Shida yenu kila mtu anajiona Yesu.
  13. Nahonyo

    Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

    Unajihakikishiaje kuwa mtoto aliezaliwa mwanamme, ni kwa sababu ya maombi yako. Ikiwa umeomba baada ya kuona anamimba tayari, na mtu akiwa na mimba ama azae mtoto wa kiume, au wa kike?
Back
Top Bottom