Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,314
After all Azam ni mali ya Bhakresa Group ambayo ni family owned....; and on that token tumeona wamiliki wengine (Halmashauri / Mashirika n.k.) wakishindwa kuendesha Timu; hivyo basi hata wale wanaoendesha kama Timu labda waanze kuendesha kama famili kama Azam....Watakuwa wanaendesha mpira kama familia zao
Don't get me wrong they can do better ila nadhani kuanza kuwashambulia hawa tungeanza kwanza na timu nyingine zote kwenye ligi (apart from Simba na Yanga)