Recent content by Nahirat

  1. Nahirat

    Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    Mimi najiuliza kwanini cjawahi sikia mtu wa sisiemu katekwa. Ndomana tunapata utata
  2. Nahirat

    Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Mbona wewe unapayuka badala ya kujenga hoja
  3. Nahirat

    Jeshi la Polisi lakionya kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kwenye mtandao wa Telegram

    Kwani kwenye swala la ajira, kutokupandisha watu mishara, dawa kupotea hosptalini, kupamdisha kodi kiholera wanawauliza wazazi wetu kwanza Pili wale ambao hawana wazazi waandamanne kama ni swala la wazazi kuwashauri
  4. Nahirat

    Wadada mnaofanya kazi maofisini: Inakuwaje unatembea na wanaume ofisi nzima?

    Alafu sijui nani kawambia wanaume tukigawa tunajizalilisha au kushuka thamani! Kwani ni pesa. Mi sioni tatizo kama mtu ameridhia mwenyewe. Mi naona watu wanawaonea wivu. Ila mimi kama mimi hata siwezi kumsema juu ya maamzi ya yake. Isitoshe mbona wanaume wanfanya hivyo hakuna anae uliza
  5. Nahirat

    Poor middle income Kenya unqualified in Africa's billionaires list

    I second you, bse Kenyatta's family is among the family who never hustled like the Dangotes! So to put them in rank doesn't hold water. That's why they sued NGUNGI WA THIONG after writing 'I will marry when I want.' They earned a lot of land through the blood of others.
  6. Nahirat

    Kigoma: Daktari feki aliyetibu kwa muda wa miaka 10 akamatwa

    Experience matters zamani kulikuwepo ma midwives walikua wamafanya kazi kwabidii. Sema proffession inayoongoza kuwa na watu feki Education. Cjui kwanini
  7. Nahirat

    Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

    Mnamashela wanava. Alafu anashanga. Hawezi jenga hoja huyu
  8. Nahirat

    Uzinzi umeniponza. Ningebaki nyumbani leo haya yasingenipata!

    Ungepiga namba ya gari umrushie Mange Kimambi ingekusidia zaidi
  9. Nahirat

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali na kupelekwa hospitali ya Mount Meru

    Amesha pitia PF3 maana naskia mtu hata aumie kisasi gani lazima awe nayo
Back
Top Bottom