King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,638
Hawajui wengine wavaa Makoti wauza NYAMA Buchani.Koti, tai , mawani na kipara vinatosha kuona kuwa ni daktari bingwa.
Hawajui wengine wavaa Makoti wauza NYAMA Buchani.Koti, tai , mawani na kipara vinatosha kuona kuwa ni daktari bingwa.
Matusi hayajengi dada yangu hata wasafi wakijenga masakiNitakufumua ilo ta.tako kenge we
Njoo na I'd yako baradhuri weMatusi hayajengi dada yangu hata wasafi wakijenga masaki
Njoo na ID yako na weweNjoo na I'd yako baradhuri we
bsi huyo ni daktari kabisa kama kafanya kazi miaka 10 ina maana naweza kutib vizur kuliko dakari mchanga kazinAlitumia vyeti feki mkuu na lazima atakuwa alikuwa na idea ya udaktari hivyo waati anaanza alikuwa anajifanya kama anajifunza na mwisho wa siku akapata ujasiri wa kwenda taasisi moja baada ya nyingine
Nakuunga mkono, mtu ambaye hajawahi kupitia mafunzo ya udaktari uambiwe mgonjwa huyu hapa mfanyie operation sijui utaanzia wapi. Maana hata wale manesi wanaokusogezea vifaa watashangaa unaanza na kifaa sicho na haiwezekani. Alimaliza mafunzo ila mtihani wa makaratasi akafeli mwaka wa mwisho huyo.[/QUOTE
Duh, kweli Wabongo akili zetu zinatutosha wenyewe!
Kuna kufaulu mtihani, lkn hii haitoshi, lazima ufudhu kivitendo sababu maisha ya binadamu hayana mbadala.
Lazima uthibitike pasi wasi uwezo wako wa kutibu binadamu ndipo uaminike na kuthibishwa na Mamlaka husika.
Sasa wewe unamuunga mkono sababu tu kathubutu kutibu! Vichaa wengi wana uwezo wa kufanya zaidi ya hilo
Sasa kuna watu mnatetea upumbavu huu kisa tu
Experience matters zamani kulikuwepo ma midwives walikua wamafanya kazi kwabidii.
Sema proffession inayoongoza kuwa na watu feki Education. Cjui kwanini
Alafu ukizingatia magonjwa yetu makuu sehemu nyingi ni malaria, kuharisha, kifua, kikohozi, mapunye, mapele, kuhara damu, kuzalisha wamama..in this case kwanini mtu asipige kazi kiasi kwamba inakuwa ngumu kumshitukia. Ikija case kubwa kama kawaida anakushauri uende hospitali kubwabsi huyo ni daktari kabisa kama kafanya kazi miaka 10 ina maana naweza kutib vizur kuliko dakari mchanga kazin
Hapana huyu wampeleke akasome huenda atakuwa doctor mmoja mkubwa sana na akawa msaada kwa jamii.Ukusikia wagonjwa waliokufa ? Huyo afungwe miaka mingi tu , mbona jina hawajamtaja ?
Only ma ccm tuu ndo yatasema afungweKwa Nchi zilizoendelea huyu ndgu angeendelezwa tu
Tayari ana uzoefu