Kigoma: Daktari feki aliyetibu kwa muda wa miaka 10 akamatwa

huyu dr nasikia ni fitina tu. kuna mama mmoja alikuwa healthy coordinator trcs ila umri ulikuwa umeenda wakamtoa. huyu msaidizi wake akapewa uboss. huyu mama ali-mind mwenzie kupewa ukubwa akaenda baraza la madaktari kufukunyua mambo. naskia jamaa alinyakwa akiwa mwaka wa mwisho muhimbili???hivyo kazi anajua sana tu. vyeti nchi hii ndivyo vimetuzamisha kabisa. tunaangalia utendahi wa mtu au kazi? nakumbuka mkuu alikuwa na sub standard walivyogusa vyeti vya mtoto mtukufu kuwa ana vyeti. alimuacha baada kumuona kuwa ana-deliver!! huku kigoma kuna madaktari wengi karibia wamestaafu kama dr kibango, dr ruhamvya, dr nuru, dr yangwa etc. hawa wote ni AMO. hawa ata uje na phd yako utakaa chini. wamefanya kazi muda mrefu na wana experience kubwa mno. ukija unatafuta shahada hawana ila wale wanaokuja toka muhimbili lazima wapate shule kwa hawa madr. uliza mtu yeyote kwa Kigoma-kasulu atakwamvia kazi yso iliyorukuka. zoez la utumbuaji limeumiza idara ya afya huku wataalam wengi wako mitaani kisa vyeti. kuna dada alikuwa anaitwa ANA, huyu alikuwa kabanga na baadae murufiti. huyu ana ueezo mkubwa sana ila wamemtoa. kuna mke wa dr tanditse mtaalamu wa dawa za usingizi alikuwa mtaalam sana wote hawa wameondolewa. kwa sasa wachoma dawa za usingizi ni shida sana. wenye vyeti ni bure kea wilayani huku.
 
Ten years kashindwa mara mbili, wakati kuna madaktari sio fake lakini ndani ya mwaka tu washafanya makosa karibu 10 mara wamesahau mikasi, mara wamechanganya wagonjwa....

Ushauri kama huyu jamaa kazi anafanya nzuri ni bora wamuweke chini ya uwangalizi tu kila anapofanya kazi.
Umejuaje kashindwa Mara mbili ? Je unajua sehemu nyingine alizopita ?
 
Kamanda wa Polisi wa Kigoma Martin, amesema wamemkamata Daktari feki kutoka kambi ya Wakimbizi ya Nyalugusu Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma,ambaye anatuhumiwa kufanya kazi hiyo asio na taaluma nayo kwa muda wa mika kumi katika Hospital mbalimbali hapa nchini Tanzania.

Daktari huyo feki amekamatwa akiwa na cheti cha kugushi cha Udaktari, amekamatwa na cheti cha kugushi cha mazoezi ya vitendo (internship) vilevile amekamatwa na cheti cha kugushi cha Usajili wa baraza la Madiktari la Tanganyika.

Ameshawa kufanya kazi katika Hospital ya St. Mary's iliyopo Karagwe mkoani Kagera 2007 - 2008, Hospitali Ndanda mission, Hospitali ya Feza, Hospitali ya maria stoppers Mwenge Dar Es Salaam. Baade akaajiriwa na Shirika la Redcross kuanzia mwaka 2016 July hadi alipokamatwa Mwaka 2018.

Imefahamika alishawafanyia Upasuaji watu wawili mmoja ilikuwa Upasuaji wa kujifungua na mwingine Upasuaji wa bandama. Wote hao Walipoteza Maisha.
 
swali la. msingi sana!
kama alifanya hospital mbali mbali alipataje hiyo nafasi??
Alitumia vyeti feki mkuu na lazima atakuwa alikuwa na idea ya udaktari hivyo waati anaanza alikuwa anajifanya kama anajifunza na mwisho wa siku akapata ujasiri wa kwenda taasisi moja baada ya nyingine
 
Back
Top Bottom