Recent content by naheda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Pamoja na makosa ya kiuandishi Ujumbe una mantiki? Kama ujumbe una mata puuzia makosa madogo madogomadgo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Waraka huu ni mzito na unamambo ambayo kimsingi yanatakika kubadilishwa la sivyo afya zetu zipo hatarini
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    We jamaa inaelekea umewafuatlia sanaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Kwa nchi yetu re-formation ya taasisi ni ngumu sanaa. Kwahiyo tutaishi na wasengerema wetu milele Maana viongizi wa juu wanabadilishwa ila roots wanabaki tu pale pale
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Sio vita ya maslahi Soma waraka kwanza
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Wanajukwaa naomba mwenye softcopy ya kitabu kinaitwa MIND MANGEMENT NOT TIME MANAGEMENT akitupie humu au aelekeze link naweza ipata Natanguliza shukurani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Unalima arusha sehemu gan kiongozi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa ukweni Singida, mwenye kuzijua desturi za Wanyaturu

    Achana na wanyaturu,hvi walioa wanyaturu je?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

    Alikua anaitwa nan Tukumbushane.
  10. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Kaka umelima wap.... Hata mim nlilima msimu wa 2017/2018 ila mwenzangu una nafuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Thibtsha ni wap ukawa wamemkubli magufuli.....au kutokumtambua ndo kumkubali
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mimi cjaona ni wap UkAWA wamemkubl magufuli.... alaf naamin kama isingekua nguvu na uwepo wa upinzani magufuli asingekua rais mpaka xaxa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sababu nyingine ya UKAWA kushindwa

    takwimu zako haziwz ktokea....kafanye research alaf urud tena labda tutakuelewa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika miaka 28

    Thnx mkubwa...umeelewka
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

    Bado kuna tatzo mkubwa ndan ya chadema pamoja na vyama vingne vya ukawa.....ngoja tuangalie
Back
Top Bottom