Recent content by Naftari Erasto

  1. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba hata diploma wanaomba mkopo kupitia HESLB?

    Mikopo ipo kutegemea na unachokisomea Kwa upande wa afya kuna wadhamini wanafadhili kulipia wanafunzi kwa kipindi chote cha masomo na hii hupatikana ukishafika chuoni
  2. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya school candidate na PC kwa mitihani ya form six?

    HaPana. Kwa Private candidates mitihan kufanana imeanza hivi karibuni kuanzia mwaka 2015 kurud nyuma mitihan ilikuwa tofaut lkn pia nadhan grading za Pc zinatofautiana na SC
  3. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba serikali imulike chuo cha uuguzi na ukunga Kabanga - Kasulu

    Duuh Nasikitika kuona kwamba chuo nilichokuwa nikikikubali nacho tayari kina kasumba ya janja janja So sorry guys tafuteni haki yenu kwa viongozi husika mtapata suluhisho haraka iwezekanavyo Sasa hivi kila mtu anapambana na hali yake
  4. Naftari Erasto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuzaa tu kisa Mungu akileta mtoto analeta 'sahani' yake?

    Hawasemi sahani yake hapana. Wanasema SAA ni yake!! Yaani Mungu mujalia MTU kupata mtoto kwa wakati wake
  5. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop used ya kununua

    Samahani wanajamvi, Kwa mwenye laptop used ya bei nafuu iwe kwenye condition nzuri tuwasiliane tufanye biashara 0621036695. Nahitaji aina yoyote BT Kama itapatkana macbook itakuwa poa zaidi.
  6. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

  7. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

    Unadhani ile ilikuwa playback?, Live band somchezo aiseeee[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] Akiiva vizuri atajuwa anapost clips za video usijali kabisa
  8. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

    To a majibu nitapost kila hatua
  9. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

    Hii playlist mnaifanya kwa kuangalia uteam au?
  10. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

    Wao ndo wanasafiria nyota ya Kiba Wamebandika mpaka picha ya kiba studio kwao ya nini? Raymond kamuimba wa nini? Sallam alitikwa mapovu kwa sababu gani? Diamond anamuimba kiba kila Mara akitafuta nini? Nikipata majibu hapa ya kutosha zaidi ya matusi nakata pumbu la kushoto
  11. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

    Oukay mkaka One love
  12. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Joining instructions kwa waliochaguliwa kwenye vyuo vya serikali

    Kwa walioomba kujiunga na vyuo vya afya na mkachaguliwa kujiunga na vyuo vya serikali, joining instructions zimetumwa kwenye emails zenu kaangalieni. NB hii ni kwa walioomba kupitia NACTE
  13. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Help,Chemistry problem

    NaCl + AgNO3 -> NaNO3 + AgCl Then 58.5g of NaCl----> 143.5 ? <---- 400g = 163.07g
  14. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anasema second selection TCU zimetoka.

    sina uhakika . Ila Kama wewe uliomba nadhani jaribu kuingia kwa profile yako uhakishe
  15. Naftari Erasto

    JamiiForums Tanzania Diamond Vs P square Youtube

    Wewe unaangalia ukubwa wa msanii kwa kutumia kigezo gani mkuu?
Back
Top Bottom