Kumekuwa na utapeli ambao mtu hutuma sms kujifanya kumsifia mganga wake wa kienyeji akishukuru kupata mari au kwa wanawake akisifiwa kuweka ndoa vizur mwanzo niliaanza kupata sms mimi nikajuwa aiza nimtu alikuwa akikosea sasa sms izo zimeanza kuingia kwenye simu ya mke wangu zikiwa na ulagai...
Wanawake nawashangaa sana unakuta shoo huwezi ukipigwa kamoja 2 unaanza kikema kama unafinyaa jipu unajuwa kuleta shida kama mtoto yatima matokeo yake nakuwa bakuchora 2 h
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wengi wa kigoma mjini namanisha ujiji mwanga gungu hawependi kazi wanapenda starehe hebu jiulize pamoja na kutembea kwangu sijawahi kuona sehem wanaanzisha shindano la kumsaka vijana wanao vaa vizur halafu unataka maisha wamewekewa taa za barabaran wameng.owa sora ushauli tuache ubishoo...
Unajuwa huyu jamaa nilikiuwa nae kikazi sehem fran nakipindi unamwanza turianza kama kumtakia kwamba amenza kujichubuwa sasa yeye aliniacha kazini sasa leo ndoo nimekutana nae uso wote umanza kubadirika rangi nakuwa mabaka mabaka nimesikitika sana paka nikaketa uzi ha jf maana anasema kasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.