Recent content by Nafaka

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Tofautisha wakati anamuoa na wakati wanaachana. Ricardo kampa umaarufu. Kwani wadhani Nana Dolls ni mzuri kuliko mabinti wa uswaz? Ni kwamba ashakuwa maarufu ila kabla ya umaarufu watu walikuwa wanajipgia kwa mitindo huru
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Naseeb madada wanampendea fame. Yani akishatoka naye, hata wakiachana tayari ana jina na kuna wajinga wenye pesa watamtaka. Ila wewe hohe yahe usio na jina ukitaka awa mademu wenye jina lazima ela ikutoke
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Umeomba ushauri nimekupa, kama majibu unayo ushauri umeomba wa nini yakhee?
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Tafuta ela ya kumhonga G wagon, kumpeleka dubai kila mwezi utampata
  5. Nafaka

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Senior Advisor: Museveni is 'God of Uganda and Africa

    Watu wakishakula wakashiba wanaanza kubwabwaja. Halafu sijui kwanini viongozi wa afrika huwa wakiwa kwenye territory zao huwa wanahisi wana nguvu hata huko kwingine
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Haiti hiyo nchi isha jifia, marekani waingilie kati kwa hao watekaji waliomua vibaya huyo dada kwa mapanga

    Walipomuua yule waziri wao nikajua hapa tayari
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Je Israeli iko overrated? Au ni kweli wao ni wabobevu zaidi duniani?

    Ilikuwa zamani sio sasa...
  8. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Nimepita barabara ya moro to dodoma ina mashimo kama yote yani kama wewe ni mgeni unaweza pasua ring inabidi uhame upande urudi kushoto kulia
  9. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Mistari iliyofutika, alama zisizoonekana, taa zinazofanya kazi mara hazifanyi, huoni kuwa ni changamoto mkuu.
  10. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Ni kweli mkuu zina hiyo mifumo ila hata moundombinu yao ni bora. Sisi leo unapita mwenge mataa yanawaka, unakuja pita baadaye hayawaki... Harabara ya dar dodoma from moro to dodoma full mashimo unahama hama barabara. Ila pia madereva wa mabasi wanazingua barabarani. Yani dereva anaocertake bila...
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Wengi tunawachukia wababa tukiwa wadogo ila ukikua ukamtazama maza kwa jicho la ukweli utagundua wazee wengi sio kama maza anavyosema

    Wewe kama mimi laiti siku zingerudi nyuma, mzee wangu alistahili heshima kubwa toka kwangu na ndugu zangu. Mungu amrehemu huko aliko
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Imagine huyu ni kiongozi. Inaonyesha reasoning capacity yake ni zero. Madereva ndio wamegoma, wenye mabasi hawahusiki na huo mgomo. And by the way huwezi kuendesha nchi kwa mabavu kwenye kila kitu. Wao sio wajinga waamke wamegoma kama mambo yangekuwa sawa
  13. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Uganda ni wanafiki wa kutukuka

    Na muhoozi katuma hadi jeshi kwenda kuisaidia israel kule Gaza.
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Hivi why wakristo wakiwa wengi mahali sio udini ila waislamu wakizidi tu tunakimbilia kusema ni udini. Kwa TZ kwa miaka mingi, mawaziri idadi kubwa walikuwa wakristo, manaibu same, kwenye chama, same. Mind you, I am a Christian lakini haya masuala ya udini ni hatari. Bora tu tupiganie tanganyika...
  15. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Kama tuweza kununua V8 na kupata posho za mikutano, kwanini tusijibane tukawekeza kwa vijana kwa ajili ya taifa letu?

    Hayo huwa ni maneno tu hayanaga utekelezaji
Back
Top Bottom